Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

WaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.

Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k

So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.

Acha theories boy
 
Ulaya Kwa zaidi ya miaka 30 kuitegemea Urusi kama chanzo Cha Energy .

Leo Vikwazo walivyowawekea Warusi, vinaiathiri Ulaya zaidi kuliko Urusi.

JPM aliona mbali, aliona Umuhim wakujitegemea kisawasawa kwenye NISHATI.

ila kwakua sahizi tunaongozwa na Rais wa aina ileeee, anayeweza Vijana wake wa aina ileeee , Usisashangae sahizi hata huko NSSF Wamejazana wale Vijana wa Mjomba, Shangazi.....

Unategemea nn?
JPM ndio alitaka energy mix kupitia Ilani ya 2020-25 sasa kosa la january ni nini?
 
We mzee Nyakarungu hujui kichwa cha habari kinatakiwa kuwa fupi na yenye kujieleza? Au ulikuwa darasa moja na Chalamila huko ulayas? Malangani? Shule za Kata.. achana na hii tabia yako ya kuandika kichwa cha habari ndeefu.
 
Tujadili hoja, kosa la January ni lipi hapo? kusimamia Ilani ya CCM ambayo JPM aliinadi ama?? Ilani Iliongelea hayo ya gesi kutumika majumbani sasa mnapinga nini hapo?
Bwashee tangu lini wewe ukawa mtetezi wa JPM na ccm? Ndiyo maana watu wanasema nchi hii hatuna upinzani nyie wote ni wachumia tumbo tu. Unageuka ghafla hivi kuwa mtetezi wa ccm kisa januari kalaumiwa?! Lazima uwe na maslahi na hilo.
 
Huyu bibi hata mkaa hawezi kuumudu , vipi gesi ya sh. 25000?
CCM mmelaaniwa.
Mmeshindwa kuchakata gesi asilia ambayo kamtungi haka kangejazwa kwa thamani ya pungufu ya sh. 10000
 
Swali muhimu.
Je huo huo mtungi utadumu milele kwa huyu mzee?

Anajua wanapoujaza? Bei anaimudu? Umbali kwenda kujaza huo mtungi ni km ngapi?
 
Tunajua taifa gas ni biashara ya nani? Na kwanini agawetaifa gas na sio oryx?
 
Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.

Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu.

[emoji116]Huu ni ulaghai usiofaa. View attachment 2289171
Pole chawa wa jiwe na sasa nafikiri mtatuelewa nini tulimaanisha dadeeeeki
 
WaTanzania mpunguze kulalamika, dunia nzima inaongelea nishati mbadala pia Ilani ya CCM na mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5 (Ambayo ndio inamuongoza Rais na Mawaziri) inaongelea energy mix sio tu kwenye vyanzo vya umeme ila hata kwenye matumizi ya nishati majumbani.

Hivyo uwepo wa Hydro Power unatakiwa uende sambamba na nishati zingine kama Joto-Ardhi, Umeme wa upepo, Gesi n.k

So kama hamtaki gesi itumike waambieni wabunge wapinge utekelezaji wa mpango wa taifa otherwise mnaongea mambo msiyokua na uelewa nayo.
Mleta uzi ni chawa wa jiwe hivyo analazimisha yote yaliyoanzishwa na jiwe yapewe kipau mbele
 
Kuwahamamsiha watu watumie nishati mbadala siyo kwa maigizo hayo!

Punguza gharama za gesi na umeme uone kama kuna mtu atahangaika na kuni!

Hivi mbibi kama huyo hata nyumba yake yu unavyoiona anaweza kutoa 25 elfu kila mwezi ili akanunue gesi ya kupikia?

Ni uzwazwa,! Watu kibao wamepeleka maombi ya kuunganishiwa umeme wana miaka hata 2 hawapati huduma, gesi bei inapanda kila kukicha, sasa mwananchi gani wa kijijini ana uwezo wa kununua gesi kila mwezi?
Miradi yote ya jiwe ishasahaulika dadeeeekiiiii
 
Tujadili hoja, kosa la January ni lipi hapo? kusimamia Ilani ya CCM ambayo JPM aliinadi ama?? Ilani Iliongelea hayo ya gesi kutumika majumbani sasa mnapinga nini hapo?
Wachana na chawa wa jiwe hao kila kinachofanywa na serikali ya mama wao wanapinga
 
Wewe ni lichawa huna ujualo!

Nenda kijijini kwenu uone wazazi wako walivyo masikini alafu rudi uendelee na huu uchawa hapa
Kwiiishaaaaa sukuma gang project's
 
Back
Top Bottom