Hizi ni siku za mwisho mwisho za IGP Sirro kuendelea kushika wadhifa wake?

Siro ni IGP mzuri ila mfumo ulivyo,,ningumu kufanya kazi vyema kama huna sapport ya Ikulu
Alipokuwa na support ya Ikulu ndipo maiti nyingi ziliokotwa na matendo ya kigaidi ya wasiojulikana yalishamiri!! Tatizo lilikuwa nini?
 
Huyu tayari kajipiga pini mwenyewe na hawezi kujiuzuri haraka labda baadae kidogo kutokana itatia shaka kubwa pia huyu anatakiwa kugunguliwa hata mashitaka maana menginyametokea chini ya uongozi wake nakama kawa either mtu kapigwa ugaidi,jambazi,mhujumu uchumi,mpinzani wakisiasa n.k huyu awe answerable maamae
 
Nasikia anamiliki mahoteli na majumba kadhaa "atembelewe na mamlaka husika.."
 
Huwezi kujimilikisha Mamlaka ndo maana Julius aliandika kitabu TUJISAHIHISHE
 
Huyo ni IGP wa majambazi ya polisi yanayouwa watanzania kwa sindano za sumu kwenye zahanati za polisi huyo ndio mkuu wao firauni na ni Gaidi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…