Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili.
Taarifa hizo ni hizi hapa;

1. Jina la Biashara
Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa.

2. Address ya biashara
Ni lazima uwe na address ya eneo unalotaka kufanyia biashara zako, pia wengine hutumia address za mahali wanapoishi ikiwa Bado hawana ofisi kamili.

3. Activities za biashara
Ni lazima u specify ni activities gani utafanya kupitia jina hili la biashara, uzuri hapa unaweza kuweka activities nyingi.

4. Taarifa zako binafsi
Ni lazima uweke taarifa zako binafsi, kama namba ya NIDA, namba ya simu, email, mahali unapoishi.

5. Taarifa za partner (kama yupo)

I hope this helps

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili jina la biashara na Kampuni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa jina la biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Mkuu kwa mtu ambaye ameshasajili kampuni sasa anataka asajili jina la biashara ambalo litakua chini ya kampuni procedure zinakuaje?
 
Mkuu kwa mtu ambaye ameshasajili kampuni sasa anataka asajili jina la biashara ambalo litakua chini ya kampuni procedure zinakuaje?
Mkuu procedure ni ndefu kiasi, unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp ili nikupigie kukupa full consultation?

Namba ni hizi
0678131068
 
Back
Top Bottom