Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

Hizi ni Taarifa Tisa (9) Unazoweza Kuzifanyia Marekebisho Kwenye Kampuni Yako

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Habari mjasiriamali,
Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unategemea kuanzisha Kampuni siku za usoni hapa nimekuandalia list ya taarifa 9 Unazoweza kuzibadilisha baada ya Kusajili Kampuni yako.

1. Mtaji wa Kampuni
Mfano ulisajili Kampuni ukaweka share capital 10M badae mtaji ukakua unaweza ku update capital yako.

2. Business activities
Unaweza kuongeza au kuondoa baadhi ya business activities zinazofanywa na Kampuni yako.

3. company Accounting period

4. Company name
Unaweza kubadili jina la Kampuni yako kabisa na kuiita jina lingine muda wowote baada ya usajili.

5. Company type
Tuseme ulisajili Kampuni yako kama private company limited by shares badae ukakua na ukahitaji kuuza shares kwa general public, unaweza kuibadilisha na kuifanya iwe public company.

6. Directors/company secretary
Unaweza kumuondoa director na kuleta mpya muda wowote, vilevile kwa company secretary.

7. Memorandum and articles of association

8. Registered office and contacts information
Mfano ulisajili Kampuni address ikiwa ni Mwanza, unaweza badae kubadilisha na kuweka address isome iringa.

9. Share holders
Unaweza kuongeza, kupunguza Wana hisa wa Kampuni yako muda wowote.

I hope this helps.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni na biashara zao.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu kubadili taarifa za Kampuni yako unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite lawyer.
 
Mkuu hii unaufanya ukiwa pande ipi ya bongo hapa.... maana na kampuni yangu uchwara inabidi ni upgrade taarifa ...
Ila usijali nitakutafuta
 
Back
Top Bottom