Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #41
weka picha mkuu muda ni mchache kubishanaMbona kule kwetu kijijin huwez kukuta hizo nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka picha mkuu muda ni mchache kubishanaMbona kule kwetu kijijin huwez kukuta hizo nyumba
Sina picha kwa sasa ila sio kama hicho namba moja, sio kukame namna hiyo na hatuna nyumba iliyoezekwa kwa majani hata moja.ndio, tuwekee picha ya kijijini kwenu
Hakuna nyumba za hivyo kibosho yoteweka picha mkuu muda ni mchache kubishana
Acha unafiki,wewe unaishi kwenye huo msonge?Clearly we are cursed View attachment 3193496
Acha mashindano Mungu hakuwa mjinga kutuweka kwenye maisha haya.Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?
Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?View attachment 3193469View attachment 3193470View attachment 3193471View attachment 3193472
Kwenye kukwamaBe spesific! Yaani tumekwama wapi kwenye nini???
Karne ya 21 bado kuna nyumba kama hizo tena nyingi sana, touch grass bro usifikiri wote tupo mjini dar es salamAcha unafiki,wewe unaishi kwenye huo msonge?
kwakweliInasikitisha sana
Ukipita Sinza na Tabata unajua umemaliza nchi?Acha unafiki,wewe unaishi kwenye huo msonge?