Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

ndio, tuwekee picha ya kijijini kwenu
Sina picha kwa sasa ila sio kama hicho namba moja, sio kukame namna hiyo na hatuna nyumba iliyoezekwa kwa majani hata moja.

Zipo baadhi zilizojengwa kwa tofali za udongo la sio kwa namna hiyo ya hizo za namba moja.
Mpaka hapo umepata taswira ya kijiji chetu, bila kusahau kuna barabara ya lami, mito iliyotunzwa vizuri, mashule na zahanati bila kusahau umeme wa uhakika.
Umepata pichaaa eeeeh???
 
Moja ya kati ya eneo walilofanikiwa wazungu kutumia elimu kuweza kuwashawishi watu kujikataa..... inaonekana wazi kuwa wasomi kadri wanavyopaa kielimu ndio wanavyojikataa.......

Na kwenye media na mitandaoni wazungu wanatuonyesha mazuri yao tu.....

Na sio tu Africa bali watu waliopitiwa na upepo wa elimu ya magharibi...wameharibiwa akili zao......
 
Tufanye wewe ungechagua nyumba zipi hapo, to be honest kabisa tuambiane, tuachieni unafiki bana.
 
Back
Top Bottom