Hizi ni zana tulizotumia wana JF wa kale. Welcome to our museum

Hizi ni zana tulizotumia wana JF wa kale. Welcome to our museum

Enzi hizo mtoto akikataa kuoga anabembelezwa hivi

"oga tukatembee"
Halafu akishaoga tu ruksa baba kuweka wa mbuzi

halafu na ile Mgeni akija mnampatia album ya photo za familia lakini siku hizi wageni hawataki hizo wanahitaji charger ya simu na remote nkt.
 
Kuna ile blog wana jf wa zamani walitumia kudownload nadhani iliitwa waptrick kama sikosei

kama wewe ni mmoja wa wale watoto kwenye familia waliokuwa wanachaguliwa kwenda kula na mgeni ujue una sifa hizi;

»Msafi
»sio mkombaji wa mboga
»mpole

Kwanini wazazi walifanya hivyo?
jibu:ili mboga ikisha mtoto afuate
Maana mgeni sifa yake ni lazima awe na aibu kuomba mboga
Ila wageni wa sasa hujifanya wanaangalia TV Kwa makini wanapogundua Wanatengewa chakula
 
Pentium 4 processor

1695945667475.png
 
Nlianza kusoma IT mwaka 2003, hii ndo ilikuwa windows kwa muda huo kama ilivyo windows 10 kwa sasa. Ikaja ikatoka windows me haikukaa sana kama ilivyotoka windows 8, ndo ikatoka xp ndo zikatoka na hdd za 40gb mazee 40gb ilikuwa ndo kubwa unajiuliza utaijaza lini hii. Ziliznza pia kutoka ram za 256mb na mashine zikatoka pentium 2 ama 3 kama sikosei
images (4).jpg
 
Back
Top Bottom