KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa[emoji23]... BujiView attachment 2765011
Maisha ni safari ndefu. Mshana Jr hakuibuka kama mchicha, amevuja jasho na subira ikamletea heri
Na hapo ana chat na demu wake.
Nlianza kusoma IT mwaka 2003, hii ndo ilikuwa windows kwa muda huo kama ilivyo windows 10 kwa sasa. Ikaja ikatoka windows me haikukaa sana kama ilivyotoka windows 8, ndo ikatoka xp ndo zikatoka na hdd za 40gb mazee 40gb ilikuwa ndo kubwa unajiuliza utaijaza lini hii. Ziliznza pia kutoka ram za 256mb na mashine zikatoka pentium 2 ama 3 kama sikoseiView attachment 2765768
Hii kitu ilikuwa ni noma sanaKama ulikuwa nayo hii Phoenix tena mpya kabisa kule Usukumani enzi zile aisee ungeweza kuwakunywa mpaka wa vijiji vya jirani 😁😁😁
View attachment 2766849View attachment 2766850
Ahahahaaaaa enzi za dos , kufanya installation ya windows ni siku nzima au siku mbiliWana JF wa zamani tulitumia floppy disk ya 1.44MB kutunza data zetu.
Leo mna hard disk external hadi za 10 TB
View attachment 2765053
Na mkishamaliza hivi , mnaletewa wali kama kisafisha mdomoEnzi zetu tunakula ugali mkubwa vijana wa siku hizi chips kidogo tuu wameshiba
Mshana Jr, Faiza foxy, The Boss, Arusha One,Miss chagga, Atoto, wanajua tulipopita View attachment 2765313