Mwikizu wa nyamswa
Member
- Sep 24, 2023
- 78
- 121
Ndio ni Silaha nyingine hio na BikiWatoto wa mtaani enzi hizo walizitumia kama silaha ukizingua wanakutoboa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Enzi hizo mtoto akikataa kuoga anabembelezwa hivi
"oga tukatembee"
Halafu akishaoga tu ruksa baba kuweka wa mbuzi
halafu na ile Mgeni akija mnampatia album ya photo za familia lakini siku hizi wageni hawataki hizo wanahitaji charger ya simu na remote nkt.
Mpwayungu hakoseagi asee walimu hapana ni wa hovyo sana.View attachment 2766042adhabu enzi hizo Leo wee mwanafunzi gani atakubali umfanye hihivyo
Ilikuwa ni balaaHii kitu ilikua na us3ng3 mwingi... data kutoweka lilikua jambo la kawaida sana.