Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Nimejichanganya mkuu sitarudia tenaShida zaidi ni kuuliza maswali ya kiboya.
Umemuuliza wa nini?
Aisee nilipitiwa mkuu anadai nikamtumie kwa wakala. Nimekosa cha kumjibuTulishasema kwenye kikao kuhusu hili, hukuchukua notes?
Haya na hiyo tshirt badilisha usiivae tena.Nimejichanganya mkuu sitarudia tena
Wakuu usije kumuuliza mwanamke umekula ni kosa kubwa.
Nimeuliza umekunywa chai ? anataka nimtumie hela ya chai na vocha sijamjibu
Maendeleo hayana chama
Sasa mkuu hata sijapiga mswaki unapewa invoice ya chai na vochaTatizo unyambo ulonao
Matatizo mengine mnayatafuta wenyeweWakuu usije kumuuliza mwanamke umekula ni kosa kubwa.
Nimeuliza umekunywa chai ? anataka nimtumie hela ya chai na vocha sijamjibu
Maendeleo hayana chama
Kweli, unaturudisha nyuma. Tunawaza hatua inayofuata baada kufuta tuma na ya kutolea.Nimejichanganya mkuu sitarudia tena
Mkuu mshana hapa nimeteleza nimekosa mimi nimekosa sanaMatatizo mengine mnayatafuta wenyewe
Hapa ananilazimisha nikamtumie hela kwa wakala utadhani kaniwekea mfukoniNi wa chache sana ukiwauliza wamekula watakujibu wamekula. Wengi husema hawajala na hela hawana.
Ila kuna wengine wanakwambia tumekula ila hawajakipemda chakula [emoji23] kwa hiyo utajiongeza mwenyewe
KwaiyoWakuu usije kumuuliza mwanamke umekula ni kosa kubwa.
Nimeuliza umekunywa chai ? anataka nimtumie hela ya chai na vocha sijamjibu
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23] Hapo ujue mmepangwa kama wanne watatno hivi. Wote mkimtumia teni teni. Siku yake imesha isha hiyoHapa ananilazimisha nikamtumie hela kwa wakala utadhani kaniwekea mfukoni