Hizi njaa mbaya

Hizi njaa mbaya

Ni wa chache sana ukiwauliza wamekula watakujibu wamekula. Wengi husema hawajala na hela hawana.
Ila kuna wengine wanakwambia tumekula ila hawajakipemda chakula [emoji23] kwa hiyo utajiongeza mwenyewe
 
Hapa ananilazimisha nikamtumie hela kwa wakala utadhani kaniwekea mfukoni
 
Back
Top Bottom