Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hivi unadhani misalaba aliyonayo Kijana wa Sasa ni kama enzi zetu...Unafiki kufikisha miaka 40 ukabaki timamu wa Akili ni KAZI ndogo?😀😀😀
Angalia Vijana wa sasa miaka 25 tuu mtoto maisha yashamtoa Knockout, kijana kachanganyikiwa, wengine wanataka kujiua, wengine wamejiingiza kwenye ushoga, wengine madawa ya kulevya, n.k.
Miaka 40 alafu mtu bado yupo timamu huyo ni Legend.
Acha kabisa vijana wa sasa wana mengi vichwani..., hakuna ajira, future yao haijulikani and they are not even pensionable....
Bado guilty conscious wamesomeshwa kwa wazee wao kuuza mali bado wanarudi mtaani kuomba / kumuomba mzee wao....
Na hapo bado gap in classes / vishawishi kuwa vingi leo hata mtu akipewa milioni kadhaa bado hazitoshi zamani ukiwa na pesa zako nyingi (choices za shule ni zilezile) pia education bure kwahio pesa inabaki unaweza kusomesha ndugu zako wote (feel good factor) na bado utakula bata na pesa utasahau kwenye suruali mkeo akifua wala hakusumbui kuomba pesa ya mboga zile tu kwenye mfuko wa nyuma zinatosha....
All in all kizazi hiki kinapitia mitihani ambayo kizazi kilichopita hakikupitia (anyway hata hivyo sio mbaya mababu zetu utumwani walipitia wakati mgumu zaidi) In short we had it easy....