Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana
Mayaula mayoni- Mbongou
Diblo Dibala- Machete
Papa Wemba yolele
Extra music- Shalai
Extra music- Losambo
General defao- Famile kikute
Kanda bongoman- Elisabeth
 
Kwenye famile kikuta, matumona aliua
Natafuta tafsili ya Mbongo - mayaula mayoni japo najua anazungumzia pesa
 
Adia ya Oliver Ngoma.

Sansa ya papier ya Madilu.

Ya Jean ya Madilu.


Aisee. Aisee. Hapana. Zinanipaga utulivu wa ajabu sana
 
Kwenye famile kikuta, matumona aliua
Natafuta tafsili ya Mbongo - mayaula mayoni japo najua anazungumzia pesa

Mbongo = Pesa
Kifupi nyimbo hii inazungumzia umuhimu / uwezo wa pesa.
Ukiwa na pesa utapata furaha pia utapata matatizo. Ukiwa na pesa kila wanawake na wanaume wote watakufata, ukiwa na pesa hata kama ni mdhaifu watu watakupa thamani. Pesa ina solve matatizo pesa inaweza kuhamisha hata milima.

Pesa ni pesa ukiwa hauna huwezi hata kutaniana na watu. Ukiwa huna pesa hakuna atakayeongea na wewe, ukiwa hauna pesa utapata presha.

Utunzi: Mayaula Mayoni
Vocals: Carlyto Lassa, Pompom Kuleta, Pembey Sheiro.
Guitar solo: Dally Kimoko
Guitar mi-solo: Papa Noel
Rhythm guitar: Lokassa ya Mbongo
Bass guitar: Ngouma Lokito
Acoustic [emoji450]: Mayaula Mayoni
 
Sikiliza 100kilos ya ferre gola ndio utajua utamu wa rhumba, kabla haijaisha weka ya pepe kalle ya kuitwa jhyimmy
 
Ukitaka kujua Rhumba ni tamu,kama una gari tia wese nenda mkoani huku njiani ukiendelea kula Rhumba,hutojutia safari
Hahaaaa!!siku moja nilikuwa naenda dodoma nikapata lift,bnana jamaa alikuwa anaenda mwanza alikuwa anagonga rhumba, hadi nilipofika dodoma kushuka,nikahisi nimedhurumiwa!!!!
 
christian bella anaimba rhumba? Nazikubali sana nyimbo zake nakuhitaji na msaliti huyu mwamba kwenye show zake sikosagi
wengine
100 kilos feregola
maria fally ipupa
flie feregola
avelina madilu
 
Back
Top Bottom