Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kwenye famile kikuta, matumona aliua
Natafuta tafsili ya Mbongo - mayaula mayoni japo najua anazungumzia pesa
Hahaaaa!!siku moja nilikuwa naenda dodoma nikapata lift,bnana jamaa alikuwa anaenda mwanza alikuwa anagonga rhumba, hadi nilipofika dodoma kushuka,nikahisi nimedhurumiwa!!!!Ukitaka kujua Rhumba ni tamu,kama una gari tia wese nenda mkoani huku njiani ukiendelea kula Rhumba,hutojutia safari