Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

😂😂😂😂😂watu wana vitu wavipendavyo
Huko sahihi kabisa. Hasa wanawake yani likija swala la handbag kuna handbag hadi 30k usd na kuna wanaonunua kisa ni designer na wakati huohuo kuna copy ya hizo handbag 5 usd dollar tano. Pia kwa wanaume designer suits hata ukivaa ya kawaida haitofautiani.

Kuna duka Zurich uswiz linauaza a pair of socks 1000 swiss franc zaidi ya 1000 USD na waja wananunua unabaki kushangaa WTF!
 
ni sawa na nikute mwanaume ananunua saa et 450k au 500k wooooi
 
All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..

Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
 
Nina Dior,Diesel, DKNY copy za msauz Africa ukitumia unanukia mpaka kesho kutakuwa,bei 25000 mls 50. Kama utahitaji karibu inbox kwa mawasiliano zaidi.
 
Attachments

  • IMG-20240303-WA0016.jpg
    IMG-20240303-WA0016.jpg
    47.1 KB · Views: 21
  • IMG-20240303-WA0018.jpg
    IMG-20240303-WA0018.jpg
    31.4 KB · Views: 23
  • IMG-20240303-WA0015.jpg
    IMG-20240303-WA0015.jpg
    41.6 KB · Views: 21
  • IMG-20240303-WA0011.jpg
    IMG-20240303-WA0011.jpg
    50.7 KB · Views: 22
  • IMG-20240303-WA0009.jpg
    IMG-20240303-WA0009.jpg
    27.9 KB · Views: 23
All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..

Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
Sasa apa kiongozi utajuaje kama jasho lako linaendana na perfume flani. Naitaji muongozo apo kiongozi 🙌
 
All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..

Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
Suala la Sauvage Tz serikali inabidi iingilie kati 😂
 
Back
Top Bottom