Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Habari wakuu...

Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...

Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...

Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Ndiyo
 
😂😂😂 mimi ni mpuuzi kipindi nipo chuo nilichezea hela sana kwa vitu vya kijinga sasa hivi sasa najuta, Enewei nje ya mada nipe vigezo vya kua winga hapo k/koo maisha yashanichanganya.
Kwani usharudi ulikoenda kulima?? K/koo njaa zako, vigezo utavikuta huku huku 😂😂😂
 
Nipo Leaders hapa, wee uko wapiii?
Dah.!! Udugu kweli nikupe code?? Tazama mdada mweupe aliyevaa glass za dior km shombe shombe anakuja hivi halafu anakataa nimekaa na mdada mmoja kavaa min dress ya black 🤭
 
Kwani usharudi ulikoenda kulima?? K/koo njaa zako, vigezo utavikuta huku huku 😂😂😂
Mkuu acha kunitonesha vidonda😐, aliye nishauri kilimo cha matikiti Mungu anamuona na yumo humu, acha niishie hapa. Ila daslamu nakuja kua winga + chawa nasikia vinalipa huko.
 
Embu recommend me, the best male perfume currently, thanks in advance.
Perfumes nzuri za kiume kwa upande wangu ni hizi.... (ninazo kwenye kabati na hununua kulingana na mapendekezo ya Jeremy Fragrances...)

1. D&G the One
2.Bleu de Chanel Gold
3.D&G light blue intense
3.My self ya YSL
4. Scandal by Jean Paul Gaultier
5.Cool water by DavidOff
6.Wood&Wood by Issey Miyake
7.Gucci Guilty by Gucci
8. Irish Leather
8.Spice bomb ya Victor and Rolf
9.Acqua Di gio Essenza Giorgio Armani
10. Armani Code by Giorgio Armani.

Hizo mimi hazikosi kwa gallery yangu na always hupata compliments nyingi mno.
 
Dah.!! Udugu kweli nikupe code?? Tazama mdada mweupe aliyevaa glass za dior km shombe shombe anakuja hivi halafu anakataa nimekaa na mdada mmoja kavaa min dress ya black [emoji2960]
Wee uduguu!!! Aliyevaa mini dress ya black, yenye lesi?
Tukio likimalizika, nakucheki
 
Back
Top Bottom