Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Imekuwa kero aiseee!! Km watu wa mkoani na Mlimani city 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lazima tusafishe nyota Nkamu
Tukirudi maporini tupate cha kusimulia.
 
Perfumes nzuri za kiume kwa upande wangu ni hizi.... (ninazo kwenye kabati na hununua kulingana na mapendekezo ya Jeremy Fragrances...)

1. D&G the One
2.Bleu de Chanel Gold
3.D&G light blue intense
3.My self ya YSL
4. Scandal by Jean Paul Gaultier
5.Cool water by DavidOff
6.Wood&Wood by Issey Miyake
7.Gucci Guilty by Gucci
8. Irish Leather
8.Spice bomb ya Victor and Rolf
9.Acqua Di gio Essenza Giorgio Armani
10. Armani Code by Giorgio Armani.

Hizo mimi hazikosi kwa gallery yangu na always hupata compliments nyingi mno.
Imagine kwenye top ten yako sijui hata moja, yaani achilia mbali kutumia, hata jina sijui🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lazima tusafishe nyota Nkamu
Tukirudi maporini tupate cha kusimulia.
🀣🀣🀣 Nkamu hiyo maporini sasa umenikumbusha shangazi yangu wa mtukula πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Perfumes nzuri za kiume kwa upande wangu ni hizi.... (ninazo kwenye kabati na hununua kulingana na mapendekezo ya Jeremy Fragrances...)

1. D&G the One
2.Bleu de Chanel Gold
3.D&G light blue intense
3.My self ya YSL
4. Scandal by Jean Paul Gaultier
5.Cool water by DavidOff
6.Wood&Wood by Issey Miyake
7.Gucci Guilty by Gucci
8. Irish Leather
8.Spice bomb ya Victor and Rolf
9.Acqua Di gio Essenza Giorgio Armani
10. Armani Code by Giorgio Armani.

Hizo mimi hazikosi kwa gallery yangu na always hupata compliments nyingi mno.
naomba hiyo spice bomb eh😊😊
 
1, 2,7 hatari sana....

Kuna Acqua Di Gio Profumo, yaani Giorgio Armani wamezingua kweli baada ya kuacha kuirelease hii kitu ni hatari mno inanukia kitajiri sana...

375x500.29727.jpg
 
1, 2,7 hatari sana....

Kuna Acqua Di Gio Profumo, yaani Giorgio Armani wamezingua kweli baada ya kuacha kuirelease hii kitu ni hatari mno inanukia kitajiri sana...

375x500.29727.jpg
Georgia Armani ana tabia ya kuleta version mpya kwa hii line ya Acqua Di gio... alianza na ile ya kwanza... akaja Essenza, profumo,profondo,Absolu n.k
 
🀣🀣🀣 Nkamu hiyo maporini sasa umenikumbusha shangazi yangu wa mtukula πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

🀣🀣🀣 Nkamu hiyo maporini sasa umenikumbusha shangazi yangu wa mtukula πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We Nkamu,ni yupi huyo shangazi wa Mtukula?πŸ˜‚
Naye anapiga picha Mcity kama sisi washamba
 
Back
Top Bottom