Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Takataka hizo nilipoteza Hela yangu
Bora utafute Spray Original
Bora utafute Spray Original
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Yaani Mtu unatoa hadi 1.2 for perfume tu maaamaeee huko ni kukufuru? Japo naweza afford bora kukomaa tu na madeodorant for men Axe na Rexona 72 hours na elfu kumi tu.
Yy anapiga maporini huko kwenye nyumba zenye ufa 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
We Nkamu,ni yupi huyo shangazi wa Mtukula?😂
Naye anapiga picha Mcity kama sisi washamba
Tumia pure based Oil bila kuchanganya na kitu chochote chukua Creed Adventus , Lacoste white , VIP 212 au Pink Chiffon kwa kweli utakuja kunishukuruHabari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Hee😂💔Yy anapiga maporini huko kwenye nyumba zenye ufa 🤣🤣🤣🤣
Kiswahili kigumu sanaaTumia pure based Oil bila kuchanganya na kitu chochote chukua Creed Adventus , Lacoste white , VIP 212 au Pink Chiffon kwa kweli utakuja kunishukuru
Prada ipo?hili ni jina la jumla lakini kuna aina zaidi ya 10PRADA.
Kivipi MkuuHiyo ya kupima ukichanganya na mafuta ya nazi inakuwa bomba sana!!
Hio perfume ni nzuri kwa wanaume, huyo manzi atampelekea BF wakeMwaka jana niliingia kwenye duka la S.H Amon lipo mlimani city eti najitutumua namimi kuulizia bei za perfume mfukoni sina hata mia😂😂, aliingia mzee mmoja na kibinti cha 2000 aisee alimnunulia perfume ya " Greed aventus" alilipa 1m cash kwa card wakasepa namimi nikatafuta mlango wa kutokea nikasepa. All in all umasikini ni m'baya sana.
Ila jf kuna watu mko njema..so mtu ananunua kabisa perfume ya 1.2m?
Akati huo ndio mshahara wetu sie wengineKweli sie wengine masikini tu, perfume tu 1.2m.?????
ukute wanao nunua hata hawako JfIla jf kuna watu mko njema..so mtu ananunua kabisa perfume ya 1.2m?
Mlimani city ipo kwaajili ya watu wa wapi mkuu?.Imekuwa kero aiseee!! Km watu wa mkoani na Mlimani city 🤣🤣🤣
Kwahiyo mzee ni danga sio?😂Hio perfume ni nzuri kwa wanaume, huyo manzi atampelekea BF wake
Chawa na ushoga bila kusahau haviko mbali, wewe kuwa winga tu....😊Mkuu acha kunitonesha vidonda😐, aliye nishauri kilimo cha matikiti Mungu anamuona na yumo humu, acha niishie hapa. Ila daslamu nakuja kua winga + chawa nasikia vinalipa huko.