Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

Yaani Mtu unatoa hadi 1.2 for perfume tu maaamaeee huko ni kukufuru? Japo naweza afford bora kukomaa tu na madeodorant for men Axe na Rexona 72 hours na elfu kumi tu.
.
Levels brother...levels.
.
Ukiona unashtuka bei ya kitu fulani ujue bado hujafikia hizo level. Hata mtu asiye na uwezo akiskia unatumia smart phone ya 600k atasema ulivyosema.
.
Levels... simple as that.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We Nkamu,ni yupi huyo shangazi wa Mtukula?πŸ˜‚
Naye anapiga picha Mcity kama sisi washamba
Yy anapiga maporini huko kwenye nyumba zenye ufa 🀣🀣🀣🀣
 
Habari wakuu...

Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...

Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...

Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Tumia pure based Oil bila kuchanganya na kitu chochote chukua Creed Adventus , Lacoste white , VIP 212 au Pink Chiffon kwa kweli utakuja kunishukuru
 
Tom Ford Ombre' Leather.Perfume ya kikubwa.
 
Tumia pure based Oil bila kuchanganya na kitu chochote chukua Creed Adventus , Lacoste white , VIP 212 au Pink Chiffon kwa kweli utakuja kunishukuru
Kiswahili kigumu sanaa
 
Hio perfume ni nzuri kwa wanaume, huyo manzi atampelekea BF wake
 
Mkuu acha kunitonesha vidonda😐, aliye nishauri kilimo cha matikiti Mungu anamuona na yumo humu, acha niishie hapa. Ila daslamu nakuja kua winga + chawa nasikia vinalipa huko.
Chawa na ushoga bila kusahau haviko mbali, wewe kuwa winga tu....😊
 
Ni balaa

Wapenzi wa perfume nzuri nipeni kazi πŸ‘Œ
 

Attachments

  • IMG_9274.jpeg
    1.4 MB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…