Ni mradi wa kapuni katika kujiongezea mapato pia Hilo dirisha linatoa huduma sawa tu na huduma ile anayoitoa wakala wa mtaani.Sio hivyo bwashee.
Unajua kwenye ofisi zao kuna dirisha la WAKALA MKUU?
Huyu wakala ni kwa ajili ya shughuli za kifedha, na wana matawi kila sehemu (Super Agents).
Je, ni mradi wa kampuni au ni tenda kwa watu binafsi?
CRDB wanachukua cash wakati Tigo pesa wao hawachukui cash kwasababu hawana leseni ya kukaa na pesa za watu.Mkaruka, kwa mujibu wa maelezo yako…. nini tofauti ya ku-deposit TigoPesa na CRDB?
Swali uliulizwa hivyo.
CRDB wanachukua cash wakati Tigo pesa wao hawachukui cash kwasababu hawana leseni ya kukaa na pesa za watu.
Hizo nyingine ni namba tu.
Wakipokea wanapeleka bank. Lakini bank hazifanyi hivyo.Unatumia lugha ngumu, ni kama unajihami kukwepa swali la huyu mtoto…. hebu fikiria tena tofauti ya hizo unaita cash na namba kwenye DEPOSITS.
Nikienda benki au wakala mimi nawapatia keshi wanapokea, unasemaje huku cash kule namba?
Bahati mbaya umechoka mapema kueleza, lakini wewe ni mwalimu mzuri sana kuelewesha mtu.Ni ngumu
Pesa za kwenye mobile phone ni e-money sio taslimu kama zile za bank unazodeposit
Unavyokwenda kwa wakala kuweka pesa unaenda kuweka manamba namba kwenye simu yako, yeye unampa cash yeye anakuwekea manamba namba kweny simu so nika kama mna-exchange,
Hivyo zile fedha sio zako na Tigo, Voda, Airtel HQ hawana hela zako cash zaidi ya database tuu ya miamala yako
I will be back, this definement is nkt enough
Mabenk yote yamepewa leseni na BOT ya kufanya biashara za kibenkSalamu wakuu!
Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili.
Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28]
Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma mbalimbali. Tukihitaji pesa taslimu tunazitoa kupitia mawakala wa hizo kampuni (service providers).
Hoja iko hivi:
Je, kampuni wanayo 'access' na pesa zetu hizi kama ilivyo mabenki?
Kwamba wanaweza kuzitumia mfano katika biashara zao hata kukopesha na kuzizungusha?
Yaani mtu [mteja] anaweza kwenda kuchukua mkopo Vodacom au pale Nyumbani Kumenoga na kuondoka na kitita kama taratibu za kibenki?
Au ni PESA ambazo zipo kwenye 'line' zetu tu!
Sijui kama nimeeleweka ila nadhani nimejitahidi, naomba nijifunze kwenu.
Ncha Kali.
Mabenk yote yamepewa leseni na BOT ya kufanya biashara za kibenk
Na mitandao ya simu nayo pia imepewa leseni na BOT ya kufanya biashara ya mobile money
Tofauti hapo ni leseni tu kila mmoja anafanya kile ambacho leseni yake inamtaka afanye zaidi hapo hakuna tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajikite wapi wewe mkaldayo?Hujaeleweka, dadavua zaidi…. sheria hairuhusu nini?
Nini tofauti ya TigoPesa na NMB? Jikite kwenye mteja kutunza na kutoa pesa, ukiacha ile kwamba M-Pesa ina kiasi cha ukomo.
Semenya unavitukoSio kosa langu, ni hawa watoto wangu wadadisi wa mambo.
Unataka mtoto mwenye akili…. serious!!
Fanya fanya uzae na Ncha Kali…. genius!![emoji6]
Kwasisi tusiosoma umetuchanganya,,yaani nitoe hela wao wanipe namba namba?.Ni ngumu
Pesa za kwenye mobile phone ni e-money sio taslimu kama zile za bank unazodeposit
Unavyokwenda kwa wakala kuweka pesa unaenda kuweka manamba namba kwenye simu yako, yeye unampa cash yeye anakuwekea manamba namba kweny simu so nika kama mna-exchange,
Hivyo zile fedha sio zako na Tigo, Voda, Airtel HQ hawana hela zako cash zaidi ya database tuu ya miamala yako
I will be back, this definement is nkt enough
Unapokwenda kwa wakala Ukampa elfu kumi taslimu ili akuwekee kwenye account yako je wakala anakuwekea hela cash au namba?.Kwasisi tusiosoma umetuchanganya,,yaani nitoe hela wao wanipe namba namba?.
Ndo maana nimechonga kibubu,,unaweza ukadhulumika huko,,,wanaweza kukuruka mda wowote..😀😀Unapokwenda kwa wakala Ukampa elfu kumi taslimu ili akuwekee kwenye account yako je wakala anakuwekea hela cash au namba?.
🤣🤣🤣Je Ikihitajika kumtumia mtu pesa utafanyaje?.Ndo maana nimechonga kibubu,,unaweza ukadhulumika huko,,,wanaweza kukuruka mda wowote..😀😀