Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

Mafundi hawazikimbii hizi engine?
 

passo utembelee 12km per litre?

Labda kama ni mbovu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hawajui tu mkuu! Nmeangalia review za hiyo prado ya mwaka huu utafikiri uko kwenye ndege.
 
1GD ni moto mwengine huo mzee baba πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Hao uchumi wa kati.
Wanyonge huwa tuna discuss tuchukue TVS, boxer, hii michina mingine maana baiskel zina viraka vya pancha, na miguu ishaota vigimbi vya maana
Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.

Hayo maprado waachieni wenyewe.
 
Jamani tuache woga.jirani yangu alikata tamaa kabisa kuagiza hizi gari sababu ya Kodi kubwa.

Kwa wanaozijua hizi gari,Kuna Prado(cruiser II)zile za mkonge mithili ya hard top.Alimvua mtu aliyechoka kwa 13M.

Service yote na seat cover kwa 6M.
Ukijumlisha transfer charges,utaona hakupigwa Sana fanya 23M,una Prado Kama wengine.
Angalizo:jamaa alipata la diesel,kumbuka Kuna ya petrol.
Hivyo tusiogope kumiliki haya makitu,chamsingi uwe na cash usiwena haraka.Rejea reply post #26.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hawajui tu mkuu! Nmeangalia review za hiyo prado ya mwaka huu utafikiri uko kwenye ndege.
Ndege labda kama bombadia ila sio gulfstream πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo gari ikiwa brand new pe Toyota ni milioni 224
 
Huna uwezo wa kuinunua unachangamsha genge tu..yani udundulize hadi milioni 200? Kadanganye watoto
Mkuu siyo kila mtu ni masikini hapa nchini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hiyo sio bilioni.
Ni 161 milioni
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Sie kina kapuku tunajua mahesabu tu. Mnunuzi hatupati kwa mathematic 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…