Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

Hizi Prado za sasa hivi naona ni za kiwango kingine kabisa

P

Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pata

Naona used pia za 2012/2014 bongo kwa mil 120-150

Kwanzia 2015 walianza tumia engine yangu mpya pendwa 1gd ftv 2.8L 4cyl very powerful ... later wakaweka kwa hiace na hilux usiombe kutana nayo gari yoyote yenye engine hio
Mafundi hawazikimbii hizi engine?
 
Muda mwingine ukipiga hesabu hivi vigari vidogo katika mafuta havina cha unafuu wala nn. Kagari kama passo cc 990, piston 3 kwa lita moja kanapeleka km 12 sababu ya nguvu ndogo ya engine. Cha ajabu IST ya cc 1300 piston 4, kwa lita 1 kanapeleka km hadi 15, sababu engine ina nguvu. So hata hizi kubwa ni kweli unashangaa ukitumia inatumia vizuri sana mafuta sababu gari za sasa umeme ni mwingi sana na zina nusa mafuta kistaarabu sana.

passo utembelee 12km per litre?

Labda kama ni mbovu
 
Hahahah unaijua vieite wewe [emoji23][emoji23][emoji23] af anatokea punda anasema Toyota hamna gari utafikiria pale jirani na Quality Centre hapajui [emoji2][emoji2][emoji2]!!!

Sogeza pua uache kiinua mgongo cha ukoo mzima ndio kukamata ZX V8 moja tu yenye makaratasi kwenye viti!
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hawajui tu mkuu! Nmeangalia review za hiyo prado ya mwaka huu utafikiri uko kwenye ndege.
 
P

Prado 4th gen zote nzuri nilianza zipenda kipindi ziko chache 2016 . .. nikaanza fatilia kodi ya 2009 ilikuwa kodi mil 30 ..used hadi bandarini ilikuwa 50M kwa hio kwa 80m na kidogo unaeza pata

Naona used pia za 2012/2014 bongo kwa mil 120-150

Kwanzia 2015 walianza tumia engine yangu mpya pendwa 1gd ftv 2.8L 4cyl very powerful ... later wakaweka kwa hiace na hilux usiombe kutana nayo gari yoyote yenye engine hio
1GD ni moto mwengine huo mzee baba 🤓🤓🤓
 
Hao uchumi wa kati.
Wanyonge huwa tuna discuss tuchukue TVS, boxer, hii michina mingine maana baiskel zina viraka vya pancha, na miguu ishaota vigimbi vya maana
Wanyonge endeleeni kujadili mambo za altezza,harrier tako la nyani,brevis,bmw 3 series(e46,e90),mercedes c-class(W202,W203) na gari za kinyonge kama hizo.

Hayo maprado waachieni wenyewe.
 
Jamani tuache woga.jirani yangu alikata tamaa kabisa kuagiza hizi gari sababu ya Kodi kubwa.

Kwa wanaozijua hizi gari,Kuna Prado(cruiser II)zile za mkonge mithili ya hard top.Alimvua mtu aliyechoka kwa 13M.

Service yote na seat cover kwa 6M.
Ukijumlisha transfer charges,utaona hakupigwa Sana fanya 23M,una Prado Kama wengine.
Angalizo:jamaa alipata la diesel,kumbuka Kuna ya petrol.
Hivyo tusiogope kumiliki haya makitu,chamsingi uwe na cash usiwena haraka.Rejea reply post #26.
 
Mkuu hiyo sio bilioni.
Ni 161 milioni
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Sie kina kapuku tunajua mahesabu tu. Mnunuzi hatupati kwa mathematic 😁
 
Back
Top Bottom