Hizi project zinazo endelea Pemba zipo Kasi sana kipindi hichi?

ngomax

Member
Joined
Jun 12, 2026
Posts
37
Reaction score
56
Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi sana, kwa upande wangu sijaona kwa huku bara Kasi ya hivyo, nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…