Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

How comes wakati nairobi itakua hivi View attachment 773309

Meanwhile Dar View attachment 773310

Ipi ni modern
kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?😀😀😀😀nataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...
 
kumbe ni bus stand😀😀😀😀 hebu jengeni tallest building in africa kwanza kisha mje tuzungumze kama wazee
Kilaza mwingine😀😀 Tallest buildings hujengwa na serikali au wawekezaji ?? Lakini kwa kuwa umelopoka watu wa system walioko humu wanaenda kulifanyia kazi😀😀 Thats how we operate with JF
 
kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?😀😀😀😀nataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern??
Hapa sisi tunaongelea city services hayo mambo ya skyscrapers tukileta hapa ni kama tunachanganya chips na maharage

Dar itakua na modern bus terminals, modern markets/malls, modern abattoir ambayo itafanya mpaka packaging and grading ya nyama, sausage etc under city council ownership
 
Kilaza mwingine😀😀 Tallest buildings hujengwa na serikali au wawekezaji ?? Lakini kwa kuwa umelopoka watu wa system walioko humu wanaenda kulifanyia kazi😀😀 Thats how we operate with JF
lazima ujibu kwa matusi? umesahau ulilishwa ban juzi au? niulize swali nitakujibu tu...kwa matusi unajiaibisha tu
 
Hata sisi tunaongelea city services hayo mambo ya skyscrapers tukileta hapa ni kama tunachanganya chips na maharage

Dar itakua na modern bus terminals, modern markets, modern abattoir ambayo itafanya mpaka packaging and grading ya nyama, sausage etc
hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..
image314.jpeg
 
Hivo wewe unaona kuna maendeleo hapo?kama maendeleo ni picha basi hayo ni maendeleo tena makubwa sana.

Kipindi ujenzi wa barabara za Mwendokasi unaanza tulionyeshwa hivi hivi mipicha ya kung'aa ila kwenye reality wenyewe tumeona matokeo yake,pale pale tulipoonyeshwa picha za kituo kizuri cha hayo mabasi pamekuwa ndo hapakaliki panatia hasara bus zinafia pale barabara lenyewe halipitiki alimradi vurugu.

Mie sio mwanasiasa,fuatilia post zangu humu na ujue sio kila anaepingana na wewe ni mwanasiasa na kwa sababu siasa zimekujaa kichwani hata ile akili yakufikiri tofauti umeitoa.hii sio dalili nzuri kwa kizazi chako.
Kwahiyo ulitaka isijengwe stendi. Tupe mbadala wa wapi bus zipate parking. Ubungo zina sababisha foleni.
 
Tunajenga tatu city na konza city lakini sijaskia au kuona wakenya wakijigamba hapa, hizo ni projects ambazo zishaanza tiyari. Na zingine kadhaa bado ziko kwa proposal kama hii yenu.
 
hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..
image314.jpeg
Sasa si unajua bado hatujaweka train stations zetu, zikikamilika itakuwaje?

Kama bus terminals zinakua hivi hizo train stations zitakuaje?
 
Sasa si unajua bado hatujaweka train stations zetu, zikikamilika itakuwaje?

Kama bus terminals zinakua hivi hizo train stations zitakuaje?
zikikamilika itawapa boost nakubaliana na hio mkuu ila kusema kuwa ndio itakuwa the most modern city in EA baada ya stendi ya basi sikubaliani...hapo ndio nina tashwishi nayo ila kwa sgr yenu nawapa tick kabisa
 
Niambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi.
This is Tanzania.
Idiol tupo wengi sana. !
Hana project yoyote aliyoifanya ikafanikiwa.
Labda..
1.Hostel zenye cracks za UDSM
2.Elimu bure ambayo imefeli vibaya
3.Kupiga Wapinzani/TL Risasi.
 
kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?😀😀😀😀nataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...
Kiufupi atasema Dar ni city which is more modern than Nairobi.Majengo yanayo hudumia jamii ndoyaunafanya mji kuonekana wa kisasa zaidi. Kwa mfano johanesbarg and pretoria hawana tallest building but ni miji ambayo iko modern zaidi Africa. Nenda London na Paris hawana skyscrapers nyingi lakini miji yao iko modern sana kutokana na miundombinu ya kiserikali. The list is endless😀😀 Tatizo hamtembei. Mmekaa kibera hapo mnapigwa na baridi.
Kuna mzungu aliulizwa btn Nai and Dar which is more modern akadai Dar. Bisha nikuletee evidence.
 
kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?😀😀😀😀nataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...
Hapo umewekewa stendi za mabasi. Nizaidi ya moja. Umewekewa masoko ya kisasa na mradi wa DMDP😀😀Usijifanye huoni😀
 
Usisumbue kichwa sana, anza na MACHINGA COMPLEX, hii inazidiwa na soko uchwara la mchikichini. Unajua sababu? Kama hujui basi sababu ni hii.... Ni wateja wachache sana watakaopanda gorofa hadi ya tano eti anafuata yeboyebo haiwezekani, wanawake wa dar kumbuka hawawezi kukata hata KUCHA sembuse kupanda gorofa.
 
Back
Top Bottom