Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Wazee wakulalamika mmeanza😀😀 Uliambiwa serikali inagawa sukari ?? 😀😀Huwezi kumlizisha kila mtanzania😀😀 Endelea kulilia sukari😀😀 Maendeleo Chap Chap😀😀
True
 
kumbe ni bus stand😀😀😀😀 hebu jengeni tallest building in africa kwanza kisha mje tuzungumze kama wazee
 
Kujazana upepo tu,hiyo stand na hizo hotels zitamsaidia nini mwananchi aliyeko kule Mpitimbi huku kg 1ya sukari akiinunua Tsh2,600/= mafuta ya kupikia kipimo 1,000/=

Sasaivi kuna hiko mnachoita mwendokasi,bora mtu akapanda guta atawahi anakoenda kuliko kusubiri hayo madude,hakuna tunachoweza kusimamia kikaenda straight vyote hovyo hovyo tu.
mwambie afuge kuku atachemsha supu na kula mayai na kupata virutubisho bora kuliko chai ya rangi.
 
Wazee wakulalamika mmeanza😀😀 Uliambiwa serikali inagawa sukari ?? 😀😀Huwezi kumlizisha kila mtanzania😀😀 Endelea kulilia sukari😀😀 Maendeleo Chap Chap😀😀
Hivo wewe unaona kuna maendeleo hapo?kama maendeleo ni picha basi hayo ni maendeleo tena makubwa sana.

Kipindi ujenzi wa barabara za Mwendokasi unaanza tulionyeshwa hivi hivi mipicha ya kung'aa ila kwenye reality wenyewe tumeona matokeo yake,pale pale tulipoonyeshwa picha za kituo kizuri cha hayo mabasi pamekuwa ndo hapakaliki panatia hasara bus zinafia pale barabara lenyewe halipitiki alimradi vurugu.

Mie sio mwanasiasa,fuatilia post zangu humu na ujue sio kila anaepingana na wewe ni mwanasiasa na kwa sababu siasa zimekujaa kichwani hata ile akili kidogo yakufikiri tofauti umeitoa.hii sio dalili nzuri kwa kizazi chako.
 
Tallest building wakati Kibera wanalala njaa?
aliyeleta mada kasema kuwa hio stendi itaifanya Dar kuwa modern city in EA...ndio nashangazwa na matamshi hayo kisa Kenya inajenga tallest building in africa na mambo mengine mengi yanayozidi hii project yenu ya kipumbavu
 
Hivi kwa akili yako unamuamini BASHITE? Bashite hajawahi kufanikisha Projects yake hata MOJA anafanya hivyo kwa ajili ya Agenda Settings / KIki kwa Pikipiki.

Issue ya Pili ni Kupiga pesa tu kwa kutumia MAYANGA Constructions Company au Kampuni Zake Zilizojificha Kujenga hizo projects nyie fuatilieni tu kwa umakini hizo kampuni kubwa zilizochukua tenda ya kujenga lazima zina mikono ya wakolomije na mziramkende.
Hahaha hapo Makonda anapewa report na wakurugenzi wa jiji na manispaa hiyo mipango ni hii hapa na sio Dar tu ipo
IMG_20180511_094019_355.jpg
Screenshot_20180511-093927.png
 

Attachments

hii inajengwa Naivasha...ebu fananisha sasa tuone😀😀industrial park plus train station plus bus station plus business centre...ujenzi unaisha 2019
image314.jpeg
 
aliyeleta mada kasema kuwa hio stendi itaifanya Dar kuwa modern city in EA...ndio nashangazwa na matamshi hayo kisa Kenya inajenga tallest building in africa na mambo mengine mengi yanayozidi hii project yenu ya kipumbavu
Hilo jengo litaiingizia pesa ngapi nairobi city council?
 
Niambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi.
This is Tanzania.
Idiol tupo wengi sana. !
Hiyo ni miradi ya central government hakuna mradi wa council hapo hata mmoja, financier ni central government
 
Hilo jengo litaiingizia pesa ngapi nairobi city council?
mbona unajichanganya??😀😀😀 tunazungumzia modernity au hela?? nadhani mada inasema Dar itakua the most modern city...hahahaha ndio nami napinga na kusema kuwa the tallest building in africa, ambayo inajengwa humu ndio itaifanya nairobi kuwa the most modern city in east africa😀😀😀...mada ni yako ila huelewi..sijui umepaniki? in other words, nataka uniambie ni kwanini unadhani dar itakuwa the most modern city baada ya uzinduzi wa stendi hii ya mabasi...nami nitakupinga kwa kuleta projects za nairobi...very simple...mambo ya city council sijui umetoa wapi
 
mbona unajichanganya??😀😀😀 tunazungumzia modernity au hela?? nadhani mada inasema Dar itakua the most modern city...hahahaha ndio nami napinga na kusema kuwa the tallest building in africa, ambayo inajengwa humu ndio itaifanya nairobi kuwa the most modern city in east africa😀😀😀...
How comes wakati nairobi itakua hivi
images.jpg



Meanwhile Dar
Screenshot_20180511-080357.png


Ipi ni modern
 
Hayo ndio mambo tunayataka. Tumechoka na mapicha. Mnakumbuka mji wa Kigamboni?
Tatizo unashindwa kutifautisha nyakati

Huyu ni JPM the bulldozer kila mtu anamjua
 
Back
Top Bottom