ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
TrueWazee wakulalamika mmeanza😀😀 Uliambiwa serikali inagawa sukari ?? 😀😀Huwezi kumlizisha kila mtanzania😀😀 Endelea kulilia sukari😀😀 Maendeleo Chap Chap😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueWazee wakulalamika mmeanza😀😀 Uliambiwa serikali inagawa sukari ?? 😀😀Huwezi kumlizisha kila mtanzania😀😀 Endelea kulilia sukari😀😀 Maendeleo Chap Chap😀😀
FactHii nikabla ya 2020. Magufuli akisema anatekeleza.
mwambie afuge kuku atachemsha supu na kula mayai na kupata virutubisho bora kuliko chai ya rangi.Kujazana upepo tu,hiyo stand na hizo hotels zitamsaidia nini mwananchi aliyeko kule Mpitimbi huku kg 1ya sukari akiinunua Tsh2,600/= mafuta ya kupikia kipimo 1,000/=
Sasaivi kuna hiko mnachoita mwendokasi,bora mtu akapanda guta atawahi anakoenda kuliko kusubiri hayo madude,hakuna tunachoweza kusimamia kikaenda straight vyote hovyo hovyo tu.
Tallest building wakati Kibera wanalala njaa?kumbe ni bus stand😀😀😀😀 hebu jengeni tallest building in africa kwanza kisha mje tuzungumze kama wazee
Hivo wewe unaona kuna maendeleo hapo?kama maendeleo ni picha basi hayo ni maendeleo tena makubwa sana.Wazee wakulalamika mmeanza😀😀 Uliambiwa serikali inagawa sukari ?? 😀😀Huwezi kumlizisha kila mtanzania😀😀 Endelea kulilia sukari😀😀 Maendeleo Chap Chap😀😀
aliyeleta mada kasema kuwa hio stendi itaifanya Dar kuwa modern city in EA...ndio nashangazwa na matamshi hayo kisa Kenya inajenga tallest building in africa na mambo mengine mengi yanayozidi hii project yenu ya kipumbavuTallest building wakati Kibera wanalala njaa?
Hahaha hapo Makonda anapewa report na wakurugenzi wa jiji na manispaa hiyo mipango ni hii hapa na sio Dar tu ipoHivi kwa akili yako unamuamini BASHITE? Bashite hajawahi kufanikisha Projects yake hata MOJA anafanya hivyo kwa ajili ya Agenda Settings / KIki kwa Pikipiki.
Issue ya Pili ni Kupiga pesa tu kwa kutumia MAYANGA Constructions Company au Kampuni Zake Zilizojificha Kujenga hizo projects nyie fuatilieni tu kwa umakini hizo kampuni kubwa zilizochukua tenda ya kujenga lazima zina mikono ya wakolomije na mziramkende.
Niambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi.Mwezi ujao ujenzi unaanza. Kipindî hiki cha Magufuli hakuna ujenzi wa serikali ambao umekwama.
Hilo jengo litaiingizia pesa ngapi nairobi city council?aliyeleta mada kasema kuwa hio stendi itaifanya Dar kuwa modern city in EA...ndio nashangazwa na matamshi hayo kisa Kenya inajenga tallest building in africa na mambo mengine mengi yanayozidi hii project yenu ya kipumbavu
Hiyo ni miradi ya central government hakuna mradi wa council hapo hata mmoja, financier ni central governmentNiambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi.
This is Tanzania.
Idiol tupo wengi sana. !
mbona unajichanganya??😀😀😀 tunazungumzia modernity au hela?? nadhani mada inasema Dar itakua the most modern city...hahahaha ndio nami napinga na kusema kuwa the tallest building in africa, ambayo inajengwa humu ndio itaifanya nairobi kuwa the most modern city in east africa😀😀😀...mada ni yako ila huelewi..sijui umepaniki? in other words, nataka uniambie ni kwanini unadhani dar itakuwa the most modern city baada ya uzinduzi wa stendi hii ya mabasi...nami nitakupinga kwa kuleta projects za nairobi...very simple...mambo ya city council sijui umetoa wapiHilo jengo litaiingizia pesa ngapi nairobi city council?
How comes wakati nairobi itakua hivimbona unajichanganya??😀😀😀 tunazungumzia modernity au hela?? nadhani mada inasema Dar itakua the most modern city...hahahaha ndio nami napinga na kusema kuwa the tallest building in africa, ambayo inajengwa humu ndio itaifanya nairobi kuwa the most modern city in east africa😀😀😀...
Hayo ndio mambo tunayataka. Tumechoka na mapicha. Mnakumbuka mji wa Kigamboni?Mwezi ujao ujenzi unaanza. Kipindî hiki cha Magufuli hakuna ujenzi wa serikali ambao umekwama.