Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?ππππnataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...How comes wakati nairobi itakua hivi View attachment 773309
Meanwhile Dar View attachment 773310
Ipi ni modern
Kilaza mwingineππ Tallest buildings hujengwa na serikali au wawekezaji ?? Lakini kwa kuwa umelopoka watu wa system walioko humu wanaenda kulifanyia kaziππ Thats how we operate with JFkumbe ni bus standππππ hebu jengeni tallest building in africa kwanza kisha mje tuzungumze kama wazee
Hapa sisi tunaongelea city services hayo mambo ya skyscrapers tukileta hapa ni kama tunachanganya chips na maharagekwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?ππππnataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern??
lazima ujibu kwa matusi? umesahau ulilishwa ban juzi au? niulize swali nitakujibu tu...kwa matusi unajiaibisha tuKilaza mwingineππ Tallest buildings hujengwa na serikali au wawekezaji ?? Lakini kwa kuwa umelopoka watu wa system walioko humu wanaenda kulifanyia kaziππ Thats how we operate with JF
hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..Hata sisi tunaongelea city services hayo mambo ya skyscrapers tukileta hapa ni kama tunachanganya chips na maharage
Dar itakua na modern bus terminals, modern markets, modern abattoir ambayo itafanya mpaka packaging and grading ya nyama, sausage etc
Kwahiyo ulitaka isijengwe stendi. Tupe mbadala wa wapi bus zipate parking. Ubungo zina sababisha foleni.Hivo wewe unaona kuna maendeleo hapo?kama maendeleo ni picha basi hayo ni maendeleo tena makubwa sana.
Kipindi ujenzi wa barabara za Mwendokasi unaanza tulionyeshwa hivi hivi mipicha ya kung'aa ila kwenye reality wenyewe tumeona matokeo yake,pale pale tulipoonyeshwa picha za kituo kizuri cha hayo mabasi pamekuwa ndo hapakaliki panatia hasara bus zinafia pale barabara lenyewe halipitiki alimradi vurugu.
Mie sio mwanasiasa,fuatilia post zangu humu na ujue sio kila anaepingana na wewe ni mwanasiasa na kwa sababu siasa zimekujaa kichwani hata ile akili yakufikiri tofauti umeitoa.hii sio dalili nzuri kwa kizazi chako.
Kigamboni ni master plan huu ni ujenziππ Try to differentiateππHayo ndio mambo tunayataka. Tumechoka na mapicha. Mnakumbuka mji wa Kigamboni?
Sasa si unajua bado hatujaweka train stations zetu, zikikamilika itakuwaje?hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..
zikikamilika itawapa boost nakubaliana na hio mkuu ila kusema kuwa ndio itakuwa the most modern city in EA baada ya stendi ya basi sikubaliani...hapo ndio nina tashwishi nayo ila kwa sgr yenu nawapa tick kabisaSasa si unajua bado hatujaweka train stations zetu, zikikamilika itakuwaje?
Kama bus terminals zinakua hivi hizo train stations zitakuaje?
Hana project yoyote aliyoifanya ikafanikiwa.Niambie project 3 tu ambazo MH, mtukufu Raisi wangu Ameziazisha yeye mwenyewe ambazo zimesha kamilika mpaka sasaivi.
This is Tanzania.
Idiol tupo wengi sana. !
Kiufupi atasema Dar ni city which is more modern than Nairobi.Majengo yanayo hudumia jamii ndoyaunafanya mji kuonekana wa kisasa zaidi. Kwa mfano johanesbarg and pretoria hawana tallest building but ni miji ambayo iko modern zaidi Africa. Nenda London na Paris hawana skyscrapers nyingi lakini miji yao iko modern sana kutokana na miundombinu ya kiserikali. The list is endlessππ Tatizo hamtembei. Mmekaa kibera hapo mnapigwa na baridi.kwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?ππππnataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...
Jamaa wa Kaskazini ni nani kuwa muwazi.Halafu sisi tukitangaza tunatekeleza hamna sijui excuses za economic viability kama jamaa zetu wa Kaskazi as feasibility study hufanywa kwanza.
Hii nikabla ya 2020. Magufuli akisema anatekeleza.
Tuonyeshe ujenziπhii inajengwa Naivasha...ebu fananisha sasa tuoneππindustrial park plus train station plus bus station plus business centre...ujenzi unaisha 2019
Nairobi hakuna mafuriko.?? Tuanze picha ?? Swala la mafuriko lipo ndani ya mradi wa DMDP.Mvua zikinyesha mwendokasi zinapaki..
Dar itafute suluhu ya maafuriko kwanza.. ni aibuu
Hapo umewekewa stendi za mabasi. Nizaidi ya moja. Umewekewa masoko ya kisasa na mradi wa DMDPππUsijifanye huoniπkwa hiyo kwa akili yako stendi ya basi tu ndio inafanya city kuwa modern?ππππnataka nikuulize swali moja tu...mtalii atakapokuja Nairobi apate Pinnacle tower na Montave tower kisha aje Dar aone bus stand unadhani atasema ni mji upi ulio modern?? usijibu kwa ushabiki..jibu tu kwa kusema ukweli...kisha pia nasi tunajenga hii ila sioni kama ndio itafanya Kenya kuwa the most modern country...