Nairobi CBD😀😀 most modern citynarudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi CBD😀😀 most modern citynarudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
nanyi stendi ya basi inamsaidia nini mkenya? swala ni kuwa mnaimba ati stendi ya basi itaifanya dar kuwa most modern city in EA...hapo ndio mnajidanganya mchana peupe
Dart wanaenda sehem nyingine tofauti kabisa na ubungo.. Ubungo panajenjwa kituo kikubwa cha biashara.. Pale wanahamia kwa muda tu.. Hizo bilion hamsini ulizozitaja zinaenda kujenga kituo cha mabasi yaendayo mikoani huko mbeziMkuu kuhusu hilo la jangwani,haikuwa sahihi kuhamishia kituo ubungo na kuwekeza(kupoteza) 50billion-eti kuweka makao mapya ya DART!
*Kwa akili tu za kawaida,kituo cha jangwani kilipaswa kifanyiwe ‘ukarabati wa kiwango cha kati’ kuelekeza mkondo wa maji kutoathiri utendaji wa kituo,ambao hata 10billion ingetosha na tatizo lingeisha kabisa.....
*Sema ndo ivo tena ‘waliopanga wamechagua’
haya mami niwie radhi...ninapotoka huwa hatubishani na warembo...ni tabia za mwoga hizo...pole sana bintiSasa Jengo Lenye Ghorofa nyingi Mtu analala kwenye Slum kweli litamsaidia!
narudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
Kiufupi atasema Dar ni city which is more modern than Nairobi.Majengo yanayo hudumia jamii ndoyaunafanya mji kuonekana wa kisasa zaidi. Kwa mfano johanesbarg and pretoria hawana tallest building but ni miji ambayo iko modern zaidi Africa. Nenda London na Paris hawana skyscrapers nyingi lakini miji yao iko modern sana kutokana na miundombinu ya kiserikali. The list is endless😀😀 Tatizo hamtembei. Mmekaa kibera hapo mnapigwa na baridi.
Kuna mzungu aliulizwa btn Nai and Dar which is more modern akadai Dar. Bisha nikuletee evidence.
Inasikitisha kuwaona watanzania wako nyuma kimawazo kiasi hichi..,Mkuu kuna shida nyingi za kijamii zinahitaji kutatuliwa kabla kwenda kuwekeza kwenye miradi ambayo itawanufanisha wachache,Matatizo ya sehemu ya kutupa taka katika mji wa Daresalam ni tatizo sugu wangeliangalia hilo kwanzawenzako wamejaa ushabiki tu..wanashrehekea stendi za basi, emergency landing, uzinduzi wa lift na ukuta😀😀
Stand ya Mbezi Luis ni project ya zamani sana uliza kama hujui sio alternative ya kituo cha brt cha jangwaniMkuu kuhusu hilo la jangwani,haikuwa sahihi kuhamishia kituo ubungo na kuwekeza(kupoteza) 50billion-eti kuweka makao mapya ya DART!
*Kwa akili tu za kawaida,kituo cha jangwani kilipaswa kifanyiwe ‘ukarabati wa kiwango cha kati’ kuelekeza mkondo wa maji kutoathiri utendaji wa kituo,ambao hata 10billion ingetosha na tatizo lingeisha kabisa.....
*Sema ndo ivo tena ‘waliopanga wamechagua’
Sehemu za wazi ni kitu muhimu sana katika mji wa Daresalam,park za kumpumzika na kuchezea watoto,watoto wa daresalam wanacheza barabarani,vipaji kibao vinaishia hivi hivi bila kuendelea kwasababu watoto hawana sehemu za kucheza na kujiendeleza.,wakaazi na wageni wa daresalam mapumziko yao Bar...Mradi wa DMDP upo nahayo uliyotaja
Stand ya Mbezi Luis ni project ya zamani sana uliza kama hujui sio alternative ya kituo cha brt cha jangwani
Tena pale ubungo patajengwa ICD ndio project iliopo kwenye pipeline hiyo brt hata bado haijaongelewa
Hii unaitwa strategic projects zimelenga kuzifanya halmashauri na majiji ya jitegemee yenyewe kwenye vyanzo vya mapato ili viweze kuendesha shughuli zake bila kutegemea central government fundsUnaeleza vyema,japo si kwa njia sahihi
*Mjumuiko woote huu-Mbezi luis,ICD,BRT..hauna maana kama lutashindwa kutofautisha kati ya ‘kujeng
mkuu hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kumaliza Shida za kijamii kama unavyofikili, tukisema tumalize kwanza Shida za kijamii ndo tuanze project kama hizi tutajidanganya sana acha kwanza tutekeleze hizi project then wananchi watasaidika/kutatuliwa Shida zao kupitia hizi project.Inasikitisha kuwaona watanzania wako nyuma kimawazo kiasi hichi..,Mkuu kuna shida nyingi za kijamii zinahitaji kutatuliwa kabla kwenda kuwekeza kwenye miradi ambayo itawanufanisha wachache,Matatizo ya sehemu ya kutupa taka katika mji wa Daresalam ni tatizo sugu wangeliangalia hilo kwanza
Sasa ni yupi asie safiri, kutalii na kusoma au asie na marafiki? Smh🙄Mimi ‘si kama wewe’...hua nakumbuka nyumbani na ninapenda kuwa nyumbani,pale inapobidi.
*Hua nina safari nyingi za kibiashara/kutalii na masomo..pia Canada nimetengeneza marafiki na watu wenye kujali,walau ‘nyoyo zao si kama wako’
Hajui maana ya strategic projects anataka ijengwe miradi ambayo ni consumption oriented projects ambayo ni liabilities kwa serikali wakati councils zenyewe hata pesa za kulipa bills ndogondogo mpaka ipate ruzuku serikali kuumkuu hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kumaliza Shida za kijamii kama unavyofikili, tukisema tumalize kwanza Shida za kijamii ndo tuanze project kama hizi tutajidanganya sana acha kwanza tutekeleze hizi project then wananchi watasaidika/kutatuliwa Shida zao kupitia hizi project.
Hii unaitwa strategic projects zimelenga kuzifanya halmashauri na majiji ya jitegemee yenyewe kwenye vyanzo vya mapato ili viweze kuendesha shughuli zake bila kutegemea central government funds
Ndio maana miradi yote hii ni economic viable and profit maximization oriented first, project kama Mbezi Luis terminal itahudumia zaidi ya watanzania 20,000 kwa siku, masoko yatahudumia tens thousands and people, machinjio ya vingunguti itauza nyama kwa Dar nzima yenye watu zaidi ya million 5 na kwenye hotels na supermarkets sababu itakua modern abattoir 80% ya nyama inayouzwa kwenye supermarkets na decent hotels ni imported, stands za jiji nayo ni business
Yote hii ni kuhakikisha councils zinajitegemea ndio zianzishe hiyo miradi mingine unayoitaka
Pia sehemu zakupumzikia zipo kwenye mradi wa DMDP. Pitia hii videoSehemu za wazi ni kitu muhimu sana katika mji wa Daresalam,park za kumpumzika na kuchezea watoto,watoto wa daresalam wanacheza barabarani,vipaji kibao vinaishia hivi hivi bila kuendelea kwasababu watoto hawana sehemu za kucheza na kujiendeleza.,wakaazi na wageni wa daresalam mapumziko yao Bar...
Amia kwenye jukwaa la siasa kabla sijakulambisha kundu. Huku hatutaki wanasiasa.Mkuu,naona utakuwa unasaka ‘uteuzi’
*Na inawezekana ukipata uteuzi-pengine labda utadumu sana!
*Nimeangalia mawazo yako,umegusia na kuunganisha ‘plan za kwenye karatasi mpaka uhalisia kwa kuonyesha 80% ilipo’....Si kwa jicho hilo yakinifu,lazima uteuzi unakuhusu...Kauli hizi ni wale wa ‘mrengo fulani’ ndo wanazitoaga kwa miaka 59sasa
*Labda pengine kama ungependa kutujuza ‘uko mrengo gani wa kimtazamo’ ndugu yetu?