Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

narudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
Nairobi CBD😀😀 most modern city
IMG_20180502_232821.jpg
 
nanyi stendi ya basi inamsaidia nini mkenya? swala ni kuwa mnaimba ati stendi ya basi itaifanya dar kuwa most modern city in EA...hapo ndio mnajidanganya mchana peupe

Sasa Jengo Lenye Ghorofa nyingi Mtu analala kwenye Slum kweli litamsaidia!
 
Mkuu kuhusu hilo la jangwani,haikuwa sahihi kuhamishia kituo ubungo na kuwekeza(kupoteza) 50billion-eti kuweka makao mapya ya DART!
*Kwa akili tu za kawaida,kituo cha jangwani kilipaswa kifanyiwe ‘ukarabati wa kiwango cha kati’ kuelekeza mkondo wa maji kutoathiri utendaji wa kituo,ambao hata 10billion ingetosha na tatizo lingeisha kabisa.....
*Sema ndo ivo tena ‘waliopanga wamechagua’
Dart wanaenda sehem nyingine tofauti kabisa na ubungo.. Ubungo panajenjwa kituo kikubwa cha biashara.. Pale wanahamia kwa muda tu.. Hizo bilion hamsini ulizozitaja zinaenda kujenga kituo cha mabasi yaendayo mikoani huko mbezi
 
Kiufupi atasema Dar ni city which is more modern than Nairobi.Majengo yanayo hudumia jamii ndoyaunafanya mji kuonekana wa kisasa zaidi. Kwa mfano johanesbarg and pretoria hawana tallest building but ni miji ambayo iko modern zaidi Africa. Nenda London na Paris hawana skyscrapers nyingi lakini miji yao iko modern sana kutokana na miundombinu ya kiserikali. The list is endless😀😀 Tatizo hamtembei. Mmekaa kibera hapo mnapigwa na baridi.
Kuna mzungu aliulizwa btn Nai and Dar which is more modern akadai Dar. Bisha nikuletee evidence.

Tatizo la ‘mtu mweusi’ hajui uhusiano baina ya huduma na mahitaji...mataifa yaliyoendelea yanaweka vipaumbele kwenye mahitaji ,then huduma zikiambatana na hitaji husika kwa jamii
*Majengo marefu,SI HUDUMA/HITAJI kwa mijini..ukilingasha na ‘hewa na mazingira safi’ ambalo ni hitaji la msingi,linaloambatana na uwekwaji wa miundombinu maji ya kisasa mijini.
*Huo ni mfano mdogo tu...Nilikua Canada mji wa “Saskatchewan” mwezi uliopita kikazi;Ukiwa eneo hilo hutaona mijengo mirefu na madikodiko ya ajabu kama bongo(dar)-UTAONA mabomba ya mifumo ya maji moto na Baridi yaliyopangiliwa vyema,kwa afya na mahitaji ya watu kunywa wawapo mijini,bongo mmeshikilia ‘luxury’ ambazo hazina mantiki kwenu!
 
wenzako wamejaa ushabiki tu..wanashrehekea stendi za basi, emergency landing, uzinduzi wa lift na ukuta😀😀
Inasikitisha kuwaona watanzania wako nyuma kimawazo kiasi hichi..,Mkuu kuna shida nyingi za kijamii zinahitaji kutatuliwa kabla kwenda kuwekeza kwenye miradi ambayo itawanufanisha wachache,Matatizo ya sehemu ya kutupa taka katika mji wa Daresalam ni tatizo sugu wangeliangalia hilo kwanza
 
Mkuu kuhusu hilo la jangwani,haikuwa sahihi kuhamishia kituo ubungo na kuwekeza(kupoteza) 50billion-eti kuweka makao mapya ya DART!
*Kwa akili tu za kawaida,kituo cha jangwani kilipaswa kifanyiwe ‘ukarabati wa kiwango cha kati’ kuelekeza mkondo wa maji kutoathiri utendaji wa kituo,ambao hata 10billion ingetosha na tatizo lingeisha kabisa.....
*Sema ndo ivo tena ‘waliopanga wamechagua’
Stand ya Mbezi Luis ni project ya zamani sana uliza kama hujui sio alternative ya kituo cha brt cha jangwani

Tena pale ubungo patajengwa ICD ndio project iliopo kwenye pipeline hiyo brt hata bado haijaongelewa
 
Mradi wa DMDP upo nahayo uliyotaja
Sehemu za wazi ni kitu muhimu sana katika mji wa Daresalam,park za kumpumzika na kuchezea watoto,watoto wa daresalam wanacheza barabarani,vipaji kibao vinaishia hivi hivi bila kuendelea kwasababu watoto hawana sehemu za kucheza na kujiendeleza.,wakaazi na wageni wa daresalam mapumziko yao Bar...
 
Stand ya Mbezi Luis ni project ya zamani sana uliza kama hujui sio alternative ya kituo cha brt cha jangwani

Tena pale ubungo patajengwa ICD ndio project iliopo kwenye pipeline hiyo brt hata bado haijaongelewa

Unaeleza vyema,japo si kwa njia sahihi
*Mjumuiko woote huu-Mbezi luis,ICD,BRT..hauna maana kama lutashindwa kutofautisha kati ya ‘kujeng
 
Hii unaitwa strategic projects zimelenga kuzifanya halmashauri na majiji ya jitegemee yenyewe kwenye vyanzo vya mapato ili viweze kuendesha shughuli zake bila kutegemea central government funds

Ndio maana miradi yote hii ni economic viable and profit maximization oriented first, project kama Mbezi Luis terminal itahudumia zaidi ya watanzania 20,000 kwa siku, masoko yatahudumia tens thousands and people, machinjio ya vingunguti itauza nyama kwa Dar nzima yenye watu zaidi ya million 5 na kwenye hotels na supermarkets sababu itakua modern abattoir 80% ya nyama inayouzwa kwenye supermarkets na decent hotels ni imported, stands za jiji nayo ni business

Yote hii ni kuhakikisha councils zinajitegemea ndio zianzishe hiyo miradi mingine unayoitaka
 
Inasikitisha kuwaona watanzania wako nyuma kimawazo kiasi hichi..,Mkuu kuna shida nyingi za kijamii zinahitaji kutatuliwa kabla kwenda kuwekeza kwenye miradi ambayo itawanufanisha wachache,Matatizo ya sehemu ya kutupa taka katika mji wa Daresalam ni tatizo sugu wangeliangalia hilo kwanza
mkuu hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kumaliza Shida za kijamii kama unavyofikili, tukisema tumalize kwanza Shida za kijamii ndo tuanze project kama hizi tutajidanganya sana acha kwanza tutekeleze hizi project then wananchi watasaidika/kutatuliwa Shida zao kupitia hizi project.
 
Mimi ‘si kama wewe’...hua nakumbuka nyumbani na ninapenda kuwa nyumbani,pale inapobidi.
*Hua nina safari nyingi za kibiashara/kutalii na masomo..pia Canada nimetengeneza marafiki na watu wenye kujali,walau ‘nyoyo zao si kama wako’
Sasa ni yupi asie safiri, kutalii na kusoma au asie na marafiki? Smh🙄
 
mkuu hakuna nchi yoyote duniani iliwahi kumaliza Shida za kijamii kama unavyofikili, tukisema tumalize kwanza Shida za kijamii ndo tuanze project kama hizi tutajidanganya sana acha kwanza tutekeleze hizi project then wananchi watasaidika/kutatuliwa Shida zao kupitia hizi project.
Hajui maana ya strategic projects anataka ijengwe miradi ambayo ni consumption oriented projects ambayo ni liabilities kwa serikali wakati councils zenyewe hata pesa za kulipa bills ndogondogo mpaka ipate ruzuku serikali kuu

Sasa sijui hiyo miradi itajiendeshaje
 
Mimi ‘si kama wale’
*Huwa napenda Home..ikitokea safari ni kwa Biashara/masomo au mapumziko
*Canada nimetengeneza marafiki na watu wenye kujali ‘nyoyo zao si kama wako’..
 
Hii unaitwa strategic projects zimelenga kuzifanya halmashauri na majiji ya jitegemee yenyewe kwenye vyanzo vya mapato ili viweze kuendesha shughuli zake bila kutegemea central government funds

Ndio maana miradi yote hii ni economic viable and profit maximization oriented first, project kama Mbezi Luis terminal itahudumia zaidi ya watanzania 20,000 kwa siku, masoko yatahudumia tens thousands and people, machinjio ya vingunguti itauza nyama kwa Dar nzima yenye watu zaidi ya million 5 na kwenye hotels na supermarkets sababu itakua modern abattoir 80% ya nyama inayouzwa kwenye supermarkets na decent hotels ni imported, stands za jiji nayo ni business

Yote hii ni kuhakikisha councils zinajitegemea ndio zianzishe hiyo miradi mingine unayoitaka

Mkuu,naona utakuwa unasaka ‘uteuzi’
*Na inawezekana ukipata uteuzi-pengine labda utadumu sana!
*Nimeangalia mawazo yako,umegusia na kuunganisha ‘plan za kwenye karatasi mpaka uhalisia kwa kuonyesha 80% ilipo’....Si kwa jicho hilo yakinifu,lazima uteuzi unakuhusu...Kauli hizi ni wale wa ‘mrengo fulani’ ndo wanazitoaga kwa miaka 59sasa
*Labda pengine kama ungependa kutujuza ‘uko mrengo gani wa kimtazamo’ ndugu yetu?
 
Sehemu za wazi ni kitu muhimu sana katika mji wa Daresalam,park za kumpumzika na kuchezea watoto,watoto wa daresalam wanacheza barabarani,vipaji kibao vinaishia hivi hivi bila kuendelea kwasababu watoto hawana sehemu za kucheza na kujiendeleza.,wakaazi na wageni wa daresalam mapumziko yao Bar...
Pia sehemu zakupumzikia zipo kwenye mradi wa DMDP. Pitia hii video
 
Mkuu,naona utakuwa unasaka ‘uteuzi’
*Na inawezekana ukipata uteuzi-pengine labda utadumu sana!
*Nimeangalia mawazo yako,umegusia na kuunganisha ‘plan za kwenye karatasi mpaka uhalisia kwa kuonyesha 80% ilipo’....Si kwa jicho hilo yakinifu,lazima uteuzi unakuhusu...Kauli hizi ni wale wa ‘mrengo fulani’ ndo wanazitoaga kwa miaka 59sasa
*Labda pengine kama ungependa kutujuza ‘uko mrengo gani wa kimtazamo’ ndugu yetu?
Amia kwenye jukwaa la siasa kabla sijakulambisha kundu. Huku hatutaki wanasiasa.
 
Back
Top Bottom