Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Pia sehemu zakupumzikia zipo kwenye mradi wa DMDP. Pitia hii video
Mkuu nimeiangaiia hii video,katika hii video zimetajwa sehemu nne Yombo,Kigilagila,kilakala,Mwinjuma, hii naona itakuwa wilaya ya Temeke,sasa nikuulize mtoto wenye umri wa miaka kumi atoke wailesi akacheze Yombo?!

Mkuu naona bado watanzania bado hatijawa na muamko wa hivi vitu,Ni vizuri serikali iwape hawa watu wanaoplani miji waende kwa wenzetu waliondelea waone vipi sehemu za wazi ndogo ndogo zimewekwa kwa kuchezea watoto katika kila kona za mitaa..

Nikupe mfano kama umeshatembelea Zanzibar,Mji mkongwe umezungukwa na sehemu za wazi za kuchezea watoto na za kupumzika,uwanja wa forodhani kwa kupumzikia,uwanja wa mnazi mmoja kwa kuchezea watoto,uwanja wa jamhuri garden kwa kupimzikia,kisonge(huu mpya),uwanja wa maisara kwa kucheza na kupumzikia,nk..

Hivyo viwanja na huo utawaduni wazanzibari wamerithi kutoka kwa utawala wa Sultan,Sisi wafrika kwasababu hatuna utamaduni huo,.Mji mdogo umezungukwa na viwanja vya wazi,Daresalam mji mwenye watu zaidi ya millioni tano(500,000,000) imepangiwa viwanja 4 vya wazi!

Waafrika hatuchukulii kama viwanja vya wazi ni muhumi katika plan za mji,na ndio maana hii video uliyoiweka katika daresalam mzima kuna sehemu nne tu ndio zimewekwa kama sehemu ambazo zitaboreshwa kama "Public park"..,kweli mtoto atacheza mpira kwenye "public Park" watu wamelala kwenye majani??!

Ramani ya mkoloni ya Temeke kulikuwa na viwanja vya wazi 800,sijui sasa hivi vimebakia vingapi lakini vingi vimejengwa kama sio ofisi za CCM basi shule za kata au vitu vyengine..,

Kama tunataka tuujemge mji wa Daresalam uwe mji unaokidhi jamii ya wanaokaa daresalam na wageni basi wanao plan huo mji lazima watoke nje ya nchi wakaone vipi miji mingeni imejegwa..
 
This should be integrated with the sgr station.

I hope it's not isolated.

How far is this bus stand from the SGR station at Dar?

Yaa they have something known as integrated transit orientated projects. Every aspect regarding transport is taken aboard.
 

Tunachotaka ni value for money for our projects. Hayo ya kuhisi tunakuachia wewe.
 
nanyi stendi ya basi inamsaidia nini mkenya? swala ni kuwa mnaimba ati stendi ya basi itaifanya dar kuwa most modern city in EA...hapo ndio mnajidanganya mchana peupe
Wakenya mnaponda miradi yetu yote kama ilivyokua Kwa BRT ndivyo itakavyokua Mara 10 zaidi maumivu yake ikikamilika tusisikie mnaililia serikali yenu kama mlivyolialia baada ya brt kuzinduliwa mlichafua tweets
 
narudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
Altemi ndiye mungu wetu mkuu .ninani asiyejua kuwa mungu Mke Altemi ndiye mungu mkuu basi aina aja ya kufanya fujo .....ndivyo wakenya mnavyo jidanganya
 
Yani nyie jamaa sijui mkoje, kila kitu ni kupinga kwamba hakina faida kwa mtu fulani. Haya hiyo sukari ikipiganiwa ikapatikana mtasema tena haimsaidii mtanzania wa sehemu fulani maana hana hela ya kununua. Huyo mwananchi wa sijui mpitimbi si lazima atumie hiyo stand kama haji Dar, mbona unafikiri kwa kutumia makalio aiseeee. Hebu jirekebisheni bwana mnatia aibu, mnakosoa hadi visivyo vya kukosoa. Nini mlichofanya nyie ambacho kimemfikia kila mtanzania, siku zote wapo watakaofaidia direct na wengine indirect. Tumieni akili bhana inaonyesha mlivyo dahaifu.
 
Kwikwikwikwikwi
Hapo ni Miami rafiki yangu USA

Miami International Airport
 

Ungekua umetembea ungeelewa Johannesburg ndio mji ulio na skyscrapers nyingi Afrika. Wacha kujiaibisha Mr. Maharishi.
 
Dar haiwezi kuwa modern city hata siku moja. Haiwezekani jiji chafu lisilopangika liwe modern, tujenge tu hizo stands za mabasi ili walau tufurahi, Ila hakuna modernity yoyote katika jiji hili.
 
Dar haiwezi kuwa modern city hata siku moja. Haiwezekani jiji chafu lisilopangika liwe modern, tujenge tu hizo stands za mabasi ili walau tufurahi, Ila hakuna modernity yoyote katika jiji hili.
Mtu aliye na akili timamu huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…