Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Pia sehemu zakupumzikia zipo kwenye mradi wa DMDP. Pitia hii video

Mkuu nimeiangaiia hii video,katika hii video zimetajwa sehemu nne Yombo,Kigilagila,kilakala,Mwinjuma, hii naona itakuwa wilaya ya Temeke,sasa nikuulize mtoto wenye umri wa miaka kumi atoke wailesi akacheze Yombo?!

Mkuu naona bado watanzania bado hatijawa na muamko wa hivi vitu,Ni vizuri serikali iwape hawa watu wanaoplani miji waende kwa wenzetu waliondelea waone vipi sehemu za wazi ndogo ndogo zimewekwa kwa kuchezea watoto katika kila kona za mitaa..

Nikupe mfano kama umeshatembelea Zanzibar,Mji mkongwe umezungukwa na sehemu za wazi za kuchezea watoto na za kupumzika,uwanja wa forodhani kwa kupumzikia,uwanja wa mnazi mmoja kwa kuchezea watoto,uwanja wa jamhuri garden kwa kupimzikia,kisonge(huu mpya),uwanja wa maisara kwa kucheza na kupumzikia,nk..

Hivyo viwanja na huo utawaduni wazanzibari wamerithi kutoka kwa utawala wa Sultan,Sisi wafrika kwasababu hatuna utamaduni huo,.Mji mdogo umezungukwa na viwanja vya wazi,Daresalam mji mwenye watu zaidi ya millioni tano(500,000,000) imepangiwa viwanja 4 vya wazi!

Waafrika hatuchukulii kama viwanja vya wazi ni muhumi katika plan za mji,na ndio maana hii video uliyoiweka katika daresalam mzima kuna sehemu nne tu ndio zimewekwa kama sehemu ambazo zitaboreshwa kama "Public park"..,kweli mtoto atacheza mpira kwenye "public Park" watu wamelala kwenye majani??!

Ramani ya mkoloni ya Temeke kulikuwa na viwanja vya wazi 800,sijui sasa hivi vimebakia vingapi lakini vingi vimejengwa kama sio ofisi za CCM basi shule za kata au vitu vyengine..,

Kama tunataka tuujemge mji wa Daresalam uwe mji unaokidhi jamii ya wanaokaa daresalam na wageni basi wanao plan huo mji lazima watoke nje ya nchi wakaone vipi miji mingeni imejegwa..
 
This should be integrated with the sgr station.

I hope it's not isolated.

How far is this bus stand from the SGR station at Dar?

Yaa they have something known as integrated transit orientated projects. Every aspect regarding transport is taken aboard.
 
Hivi kwa akili yako unamuamini BASHITE? Bashite hajawahi kufanikisha Projects yake hata MOJA anafanya hivyo kwa ajili ya Agenda Settings / KIki kwa Pikipiki.

Issue ya Pili ni Kupiga pesa tu kwa kutumia MAYANGA Constructions Company au Kampuni Zake Zilizojificha Kujenga hizo projects nyie fuatilieni tu kwa umakini hizo kampuni kubwa zilizochukua tenda ya kujenga lazima zina mikono ya wakolomije na mziramkende.

Tunachotaka ni value for money for our projects. Hayo ya kuhisi tunakuachia wewe.
 
nanyi stendi ya basi inamsaidia nini mkenya? swala ni kuwa mnaimba ati stendi ya basi itaifanya dar kuwa most modern city in EA...hapo ndio mnajidanganya mchana peupe
Wakenya mnaponda miradi yetu yote kama ilivyokua Kwa BRT ndivyo itakavyokua Mara 10 zaidi maumivu yake ikikamilika tusisikie mnaililia serikali yenu kama mlivyolialia baada ya brt kuzinduliwa mlichafua tweets
 
narudia..nairobi is the most modern city and will always be...haya mengine kelele tu
Altemi ndiye mungu wetu mkuu .ninani asiyejua kuwa mungu Mke Altemi ndiye mungu mkuu basi aina aja ya kufanya fujo .....ndivyo wakenya mnavyo jidanganya
 
Kujazana upepo tu,hiyo stand na hizo hotels zitamsaidia nini mwananchi aliyeko kule Mpitimbi huku kg 1ya sukari akiinunua Tsh2,600/= mafuta ya kupikia kipimo 1,000/=

Sasaivi kuna hiko mnachoita mwendokasi,bora mtu akapanda guta atawahi anakoenda kuliko kusubiri hayo madude,hakuna tunachoweza kusimamia kikaenda straight vyote hovyo hovyo tu.
Yani nyie jamaa sijui mkoje, kila kitu ni kupinga kwamba hakina faida kwa mtu fulani. Haya hiyo sukari ikipiganiwa ikapatikana mtasema tena haimsaidii mtanzania wa sehemu fulani maana hana hela ya kununua. Huyo mwananchi wa sijui mpitimbi si lazima atumie hiyo stand kama haji Dar, mbona unafikiri kwa kutumia makalio aiseeee. Hebu jirekebisheni bwana mnatia aibu, mnakosoa hadi visivyo vya kukosoa. Nini mlichofanya nyie ambacho kimemfikia kila mtanzania, siku zote wapo watakaofaidia direct na wengine indirect. Tumieni akili bhana inaonyesha mlivyo dahaifu.
 
hii inajengwa Naivasha...ebu fananisha sasa tuone😀😀industrial park plus train station plus bus station plus business centre...ujenzi unaisha 2019
image314.jpeg
Wakenya mnaumia sana mkiona maendeleo ya Tanzania. Hiyo picha hapo juu mi Miami

upload_2018-5-11_13-55-50.png


Miami International Airport
 
hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..
image314.jpeg
Kwikwikwikwikwi
Hapo ni Miami rafiki yangu USA
upload_2018-5-11_13-57-23.png

Miami International Airport
 
Kiufupi atasema Dar ni city which is more modern than Nairobi.Majengo yanayo hudumia jamii ndoyaunafanya mji kuonekana wa kisasa zaidi. Kwa mfano johanesbarg and pretoria hawana tallest building but ni miji ambayo iko modern zaidi Africa. Nenda London na Paris hawana skyscrapers nyingi lakini miji yao iko modern sana kutokana na miundombinu ya kiserikali. The list is endless😀😀 Tatizo hamtembei. Mmekaa kibera hapo mnapigwa na baridi.
Kuna mzungu aliulizwa btn Nai and Dar which is more modern akadai Dar. Bisha nikuletee evidence.

Ungekua umetembea ungeelewa Johannesburg ndio mji ulio na skyscrapers nyingi Afrika. Wacha kujiaibisha Mr. Maharishi.
PhotoGrid_1525455532140.jpg
 
Dar haiwezi kuwa modern city hata siku moja. Haiwezekani jiji chafu lisilopangika liwe modern, tujenge tu hizo stands za mabasi ili walau tufurahi, Ila hakuna modernity yoyote katika jiji hili.
 
Dar haiwezi kuwa modern city hata siku moja. Haiwezekani jiji chafu lisilopangika liwe modern, tujenge tu hizo stands za mabasi ili walau tufurahi, Ila hakuna modernity yoyote katika jiji hili.
Mtu aliye na akili timamu huyu.
 
Back
Top Bottom