residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ng'ombe mia mbili halafu unanuka umasikini mpaka kwenye maandishi!?Ng'ombe mia mbili zote nani atazitunza kama nikiteuliwa?
Kweli sukule ni sukule tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe mia mbili halafu unanuka umasikini mpaka kwenye maandishi!?Ng'ombe mia mbili zote nani atazitunza kama nikiteuliwa?
Mkuu kumbe kwenye siasa umo namo!! mi nilijua kwenye ule ugonjwa wetu tu?(chura)Jamaa ni ndondocha!
Ng'ombe mia mbili zote nani atazitunza kama nikiteuliwa?
Umefundishwa na polepole ujibu hivyo wambie tume kama wanajiamini wawaite wapinzani walete ushahidi au wamefunga ofisiUongo mtupu, mliemkamata nazo ni nani? Kwa nini mumuachie?
Taja kilicho pingwa mataga unamsema mdee kawe pakijaa maji ila unamsifia zungu jangwani pakiwa hapapitikiMkuu ili uonekane mjanja JF kuwa kama ndondocha kupinga pinga kila kitu.
Jibu wewe uliyesema apelekwe wapiUnamuuliza nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Begi hili ni la Halima tumemfwatilia na Dada wake wa ndani kasema ni begi la Boss wake.[emoji23]
Halima ni tapeli.