Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
-
- #21
Mkuu unamaanisha radi inayokudhuru huwahi kuisikia?Usiogope radi unazozisikia, ukiisikia radi ujue wewe uko hai na usipoisikia ujue tayari tuliobaki tutaufinya kwa niaba yako.
ni kweli lakini sauti ndio inatesa kisaikolojia na ndio inaogopeka, mwanza kuna nyumba ipo mlimani ilianguka kwasababu ya mtetemo wa ile ngurumo waliokuemo waliumia sana nusura wafarikiSauti ya radi tu ndio yakutisha...
Ile makitu inatangulia umeme/mwanga halafu sauti huja baadaye ikishakuwa imelamba kitu ilichokishukia...
Mkuu astraphobia ni nini ama ndiyo hiyo hali ya kuogopa radi?Astraphobia naskia huwa mara nyingi inaisha yenyewe me pia mkuu nimejitahidi imepungua, lakini bado ipoipo mvua ya radi zile kali kali ikinyesha huwa inanipa wakati mgumu
Ndio ni hio hioMkuu astraphobia ni nini ama ndiyo hiyo hali ya kuogopa radi?
Wewe ndiyo mimi kabisa.Mimi ule muungurumo naogopa na siwezi kuzoea najiona kabisa ndo ishakua udhaifu wangu 🥺
Ndivyo ilivyo.Mkuu unamaanisha radi inayokudhuru huwahi kuisikia?
Kama ni mdada uje tuliwazane jamani, hizi radi na ngurumo zinatisha sana🥲😄Wewe ndiyo mimi kabisa.
Kuna kipindi huwa tunakwenda usiku baharini.
siku moja ikashuka mvua kubwa sana yenye upepo na radi, ah ile siku nilishahesabu nimekufa, ule umeta halafu ni usiku bahari yote inaonekana kama mchana, zikija hizo ngurumo ndio nasema, hii ishashuka ipo utosini.
Ah we achatu mkuuHuwa ikianza mvua ya radi nazima simu, nikiona mtu anatumia simu natamani hata niikwapue niizime chaajabu unashangaa anapiga simu hata hawazi dah 😀 napagawa!...
Kama ni mdada uje tuliwazane jamani, hizi radi na ngurumo zinatisha sana🥲😄
Yaani unasikiliza sauti za kwenye radio?Wanasema eti therapy yake unaweka sauti za ngurumo na radi unasikiliza nishafanya sana wapi!!! Sema kila mtu ana msala anaouogopa wadada wanaogopa mamdudu kama jongoo,nyoka,mende, na buibui ila siviogopi kabisa
wengine wanaogopa kuwa juu kama ghorofani na kutazama chini
Wengine wanaogopa mtihani [emoji3]
Vyote vidogo kwangu mchawi radi [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu nenda
unaingia youtube unatafuta video za radiradi na ngurumo unavaa earphones ongeza sauti mpaka mwisho unazisikilizaYaani unasikiliza sauti za kwenye radio?
Kwani siyo beberu hili Dokta?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu nenda
mfanyakazi mochwari anaeogopa maiti[emoji1787]Mvuvi unaogopa radi!?
Hapa umetupanga au ni mvuvi wa kisasa kutoka chuo !?
ke huyo [emoji3]Kwani siyo beberu hili Dokta?
Mkuu wavuvi ni nani mbele ya radi hadi tusiiogope, hujawahi kusikia radi imepasua wavuvi? Masika ya mwaka jana imepasua wavuvi wawili huku niliko tena ni ndugu (mdogo na kaka)Mvuvi unaogopa radi!?
Hapa umetupanga au ni mvuvi wa kisasa kutoka chuo !?