Hizi radi leo kazini kwangu kuna kazi

unaingia youtube unatafuta video za radiradi na ngurumo unavaa earphones ongeza sauti mpaka mwisho unazisikiliza
🤣🤣🤣 hiyo ni sawa na kupigana na simba wa kuchorwa tu.

Kinachohofisha ni ile kuona/kuhisi kwa huu mpasuko wa hii radi bila shaka inatuwa mwilini.
 
Usiogope radi ogopa anayeileta na kuikadiria ipige wapi na impate nani vinginevyo hofu yako haitakusaidia kitu, mwabudu Allah na kumuomba akuepushe nayo hapo utakuwa umefanikiwa.
 
Ndio changamoto za maisha, tuombe Mungu radi zisiwe na madhara wavuvi wetu. Nchi zilizoendelea wenzenu wanatumia meli, hivyo wangeweza kujificha humo hapo nguvu ya asili haitabiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…