Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

Madhabahuni wanakula.madhabahumi hao kamuulize marehemu uwagusi ngo walitangaziwa watanza lipa kodi ilipoishia anajua aliesema weewew anzisha tu letu humu tutakuja wengid tu mkuu hakikisha waanzilishi ututosi
 
Lile andiko ya kwamba mtume Paulo alikuwa anafanya kazi kupata kipato chake mwenyewe ili asiwalemee waumini na bado akachapa injili ambayo hakuna mtume wa mchongo anayeweza hata kuwaza kuifikia, inawezekana hili andiko huwa wanalipita pembeni.

Ukisoma maandiko katika biblia ni kwamba sadaka zilitolewa kwa makuhani kama utaratibu au protocol za kiibada kama malipizi ya kupata ondoleo la dhambi au upatanisho kwa Mungu. Sasa baada ya Yesu kujitoa sadaka mwenyewe, hizi sadaka za malipizi haziwezi kuendelea, labda sasa waseme wanahitaji michango kwa ajili ya kuendesha shughuli za kikanisa au mikutano ya kidini na siyo kuiita sadaka.​
 
Mleta mada nadhani hizo utilities zinatoka mbinguni.

Pia akumbuke sadaka ni ibada.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni karibu Makanisa Yote Mkuu! Mahubiri sehemu kubwa ni kutoa Pesa, sema wamebadilisha jina; Sadaka,Matoleo n.k.
Toeni ili kanisa lijiendeshe..sio kufurahia majengo makubwa mazuri ya kanisa unadhani hela za kuyajenga zinatoka mbinguni.

Kama huna hela bora ukae utulie tu na sio kulalamika mana hakuna na aliyeshikiwa bunduki kutoa hizo sadaka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mungu achukui sadaka bali sadaka utumika kufanya Kazi za Mungu duniani kupitia watumishi wake.
 
Kutoa ni kutoa pesa???? Where is that inthe bible?? Tusilishane matango pori. Mafundisho ya hovyo kabisa hayo. It has no biblical support ni tamaa za watu tu wanaotumia umbumbumbu wa watu wasiojua kutafsiri maandiko na kujinufaisha wenyewe huku wakisingizia ni kumtolea Mungu.
 
Sasa bila kutoa sadaka shughuli zinazogharamiwa na Kanisa zitaendeshwa je?
Mtume Paulo, mtu aliyechangia sana kuanzisha kanisa la karne ya kwanza anakiri kwamba katika shughuli zake za utumishi hakumuelemea mtu yeyote bali alifanya kazi kwa mikono yake mwenyewe. Alikuwa fundi wa kushona mahema. Hawa watumishi wa leo wanataka kulelewa na waumini wao. What a controversy! Hakuna hata mmoja mwenye kiwango cha mtume Paulo.
 
kuhudumia kanisa??? Kanisa ni nini na sadaka inalihudumia vipi?
 
Hao ndo watuaji wazuri sasa.... Tena wakipewa mfano wa yule mama alokuwa na unga kidogo akampikia mtushi halafu akabarikiwa zaidi ndo kabisa wanatoa mpaka utashangaa..... Waumini wa mwamposa,wanunuzi wa mafuta yake ni watu gani zaidi?
Watumishi wengi wa sasa ni self-proclaimed prophets/apostles. Usiwafananishe na manabii wa kwenye biblia. Hawa wa leo wengi wao hawakutumwa na Mungu, wamejituma wenyewe na kujibandika hayo majina /vyeo. Utaona hata miujiza yao ni viini macho tu. Wapo viwete na vipofu tele mitaani hakuna hata mmoja aliyewahi kupona. Huko utasikia sijui uvimbe tumboni umetoweka na blablaa zingine but hakuna muujiza wa enzi zile za kanisa la mwanzo.
 
Umenena vema kabisa.. Mtume wa mataifa Paulo alifanya kazi kwa mikono yake mwenyewe na kuhubiri Injili kwa mataifa mengi. Wapo watu walioguswa na hudumu yake na kumpa support ya mahitaji yake lakini hilo halikuwa sehemu ya mahubiri yake kuwaambia watu eti wachangie pesa kwa ajili ya kazi yake. Hata kwenye nyaraka zake alichowashauri waumini ni kutoa michango kwa ajili ya kuwasaidia masikini waliokuwa Yerusalemu. Hawa mitume wa michongo wa leo ni pesa mbele tu, nothing more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…