Lafacha
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 195
- 275
Sasa mzee kama haipo nafanyaje?Acha visingizio vya kijinga kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mzee kama haipo nafanyaje?Acha visingizio vya kijinga kaka
Mzee, Unataka kumaanisha wale ni masikini?Waumini wa mwamposa,wanunuzi wa mafuta yake ni watu gani zaidi?
Mzee, Unataka kumaanisha wale ni masikini?
Mzee wewe si ndo umesema, unaniuliza mimi tena ?Asilimia kubwa ni watu wa aina gani?
Ni karibu Makanisa Yote Mkuu! Mahubiri sehemu kubwa ni kutoa Pesa, sema wamebadilisha jina; Sadaka,Matoleo n.k.Tenganisha kidogo si wakristo.Ni hao wa makanisa yanayoitwa ya wokovu yanayo milikiwa na mtu binafsi.
Madhabahuni wanakula.madhabahumi hao kamuulize marehemu uwagusi ngo walitangaziwa watanza lipa kodi ilipoishia anajua aliesema weewew anzisha tu letu humu tutakuja wengid tu mkuu hakikisha waanzilishi ututosiHuwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa kutoa sadaka? Hakuna tena mkazo kwenye kuokoa roho za watu maana hizi hazina faida kwao. Wahubiri wamegeuka kuwa watu wa kujipatia mapato ya aibu kama biblia inavyosema. Pesa,pesa,pesa. Wameipa majina mengi mara sadaka, mara matoleo, mara sadaka maalum....n.k lakini yote ni PESA inatakiwa. Unaitwa kwenye mikutano ya injili uanaambiwa eti hakuna kiingilio. Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa na kutishwa kwa laana zitakazokupata usipotoa. Ni aibu kabisa kwa imani yetu ya kikristo. Hakuna tena apostolic succession. Mtu anaibuka from nowhere na motive yake ni kutengeneza pesa anaanzisha kanisa lake. Shame on those who have turned the gospel into a commodity to sell. Watapata adhabu iliyo kuu.
Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa kutoa sadaka? Hakuna tena mkazo kwenye kuokoa roho za watu maana hizi hazina faida kwao. Wahubiri wamegeuka kuwa watu wa kujipatia mapato ya aibu kama biblia inavyosema. Pesa,pesa,pesa. Wameipa majina mengi mara sadaka, mara matoleo, mara sadaka maalum....n.k lakini yote ni PESA inatakiwa. Unaitwa kwenye mikutano ya injili uanaambiwa eti hakuna kiingilio. Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa na kutishwa kwa laana zitakazokupata usipotoa. Ni aibu kabisa kwa imani yetu ya kikristo. Hakuna tena apostolic succession. Mtu anaibuka from nowhere na motive yake ni kutengeneza pesa anaanzisha kanisa lake. Shame on those who have turned the gospel into a commodity to sell. Watapata adhabu iliyo kuu.
Mleta mada nadhani hizo utilities zinatoka mbinguni.Kutoa ni hiari kwa mwenye nayo, usiende mikononi Mwa Bwana mikono mitupu na kama hauna usiache kwenda ibadani kisa huna kesho utapata.
SAsa usipotoa Tanesco watalipwa nini,maji je,vocha je,nauli, chakula ,mafuta,betri,walinzi,nk.
Kazi ya sadaka ni kuhudumia kanisa,
Toeni ili kanisa lijiendeshe..sio kufurahia majengo makubwa mazuri ya kanisa unadhani hela za kuyajenga zinatoka mbinguni.Ni karibu Makanisa Yote Mkuu! Mahubiri sehemu kubwa ni kutoa Pesa, sema wamebadilisha jina; Sadaka,Matoleo n.k.
Kwa mganga siyo sadaka ni tozo ya hudumahata kwa mganga anataka sadaka sembuse kanisani
Mtume Paulo, mtu aliyechangia sana kuanzisha kanisa la karne ya kwanza anakiri kwamba katika shughuli zake za utumishi hakumuelemea mtu yeyote bali alifanya kazi kwa mikono yake mwenyewe. Alikuwa fundi wa kushona mahema. Hawa watumishi wa leo wanataka kulelewa na waumini wao. What a controversy! Hakuna hata mmoja mwenye kiwango cha mtume Paulo.Sasa bila kutoa sadaka shughuli zinazogharamiwa na Kanisa zitaendeshwa je?
kuhudumia kanisa??? Kanisa ni nini na sadaka inalihudumia vipi?Kutoa ni hiari kwa mwenye nayo, usiende mikononi Mwa Bwana mikono mitupu na kama hauna usiache kwenda ibadani kisa huna kesho utapata.
SAsa usipotoa Tanesco watalipwa nini,maji je,vocha je,nauli, chakula ,mafuta,betri,walinzi,nk.
Kazi ya sadaka ni kuhudumia kanisa,
Watumishi wengi wa sasa ni self-proclaimed prophets/apostles. Usiwafananishe na manabii wa kwenye biblia. Hawa wa leo wengi wao hawakutumwa na Mungu, wamejituma wenyewe na kujibandika hayo majina /vyeo. Utaona hata miujiza yao ni viini macho tu. Wapo viwete na vipofu tele mitaani hakuna hata mmoja aliyewahi kupona. Huko utasikia sijui uvimbe tumboni umetoweka na blablaa zingine but hakuna muujiza wa enzi zile za kanisa la mwanzo.Hao ndo watuaji wazuri sasa.... Tena wakipewa mfano wa yule mama alokuwa na unga kidogo akampikia mtushi halafu akabarikiwa zaidi ndo kabisa wanatoa mpaka utashangaa..... Waumini wa mwamposa,wanunuzi wa mafuta yake ni watu gani zaidi?
Mmepewa bure, toeni bure. Hyo ni maneno ya Yesu mwenyewe ambayo wewe unayakanusha!!Hakuna vya bure...
Umenena vema kabisa.. Mtume wa mataifa Paulo alifanya kazi kwa mikono yake mwenyewe na kuhubiri Injili kwa mataifa mengi. Wapo watu walioguswa na hudumu yake na kumpa support ya mahitaji yake lakini hilo halikuwa sehemu ya mahubiri yake kuwaambia watu eti wachangie pesa kwa ajili ya kazi yake. Hata kwenye nyaraka zake alichowashauri waumini ni kutoa michango kwa ajili ya kuwasaidia masikini waliokuwa Yerusalemu. Hawa mitume wa michongo wa leo ni pesa mbele tu, nothing more.Lile andiko ya kwamba mtume Paulo alikuwa anafanya kazi kupata kipato chake mwenyewe ili asiwalemee waumini na bado akachapa injili ambayo hakuna mtume wa mchongo anayeweza hata kuwaza kuifikia, inawezekana hili andiko huwa wanalipita pembeni.
Ukisoma maandiko katika biblia ni kwamba sadaka zilitolewa kwa makuhani kama utaratibu au protocol za kiibada kama malipizi ya kupata ondoleo la dhambi au upatanisho kwa Mungu. Sasa baada ya Yesu kujitoa sadaka mwenyewe, hizi sadaka za malipizi haziwezi kuendelea, labda sasa waseme wanahitaji michango kwa ajili ya kuendesha shughuli za kikanisa au mikutano ya kidini na siyo kuiita sadaka.
Tena aibu kubwaNi aibu kabisa kwa imani yetu ya kikristo