Hazihit kama zamani? Mkuu umelewa nini? Nyimbo za diamond sasahivi zinapofika zamani ilikuwa ni ndoto tu kwakeHivi kwanini diamond hawezi kusimama yeye kama yeye kama davido? Kila siku lazima ashirikishe mtu? Mbaya zaidi anashirikisha wasanii wakubwa lakini nyimbo zenyewe hazihit kama zamani, za kawaidaa sana
Id yako tu inasadifu ulchoandkaKolabo na maveterani ndo sifa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza OMO utalipiwa.Id yako tu inasadifu ulchoandka
Demu boyOngeza OMO utalipiwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Demu boy
[emoji15] [emoji15] [emoji15] unajitekenya na kucheka menyewe [emoji53] [emoji53] [emoji53][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha mnachofanya ni kumpambanisha na yeyote mnaehisi yupo juu ya kiba...mlianza na darasaa saivi ashlay mkihisi mtu anajitahidi kumpita kiba basi mnampambanisha na simba
Diamond bila collabo= Zero (0)
Kwa mnaofatilia mziki mtagundua hilo kua this time diamond can not stand alone.
Sasa hiv amekua ni mtu wa kuhangaika na collabo tu mbaya zaidi ananunua collabo kwa wasanii ambao kweny chat za billboard walishasahaulika.
Mashabiki wake hawalioni hili ndio maana wao kila kukicha utasikia Mond amecollabo na huyu mara amecollabo na yule.
Swali?
Uimara na ubora wa diamond unapimwa na kununua collabo nyingi?
Kwa hali mnayoiona sasa diamond anaweza akasimama peke yake na akatupa burudani kama anayotupa Dogo Aslay?
Mkuu chukua form unaweza kushinda mashindano ya haters duniani...nafikiri hii haishii kwa diamond tuukolabo na wasanii ambao washajifia kitambo... kwanini asipige kolabo na Drake au Justin bieber kama wizkid... mbafuuuuuu
sawaHapana ni sofa
Kwema wana,
Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby.
Mtakumbuka kama wiki mbili zilizopita Mond alikuwa akipika hit song na Rick Rosey mwenye midevu yake.
Wale ambao hatujafikisha miaka 30 tutakuwa tunamjua vyema mnyama Omarion (ndiye alikuwa role model wetu) aliyekuwa kundi la B2K chini ya Rapa tajiri duniani P.Didy lakini sio wa JF asiyejua kuandika.
Wakati Diamond akiipeleka Bongo fleva duniani kuna kajamaa kenyewe kanashinda kijiweni kuvuta shisha na kula mirungi huku kakisubiri mwisho wa wiki kakagombee mic na Mwamba Geu , S Kide mtoto wa mama Shamte fiestani.
View attachment 619347
hivi omarion yupo???????....kolabo hupangw au atakayepita mbele huyohuyo tunafanya nae bila kujali ubora alionao kwa wakati husika?? muda mwingine bora kufanya na aslay omarion??? is luk serious aw mnatania
huo ndo ukweli siyo kolabo mradi kolabo tuu....au apige na kanye west aliyemsifia kiatu chake kizuri hahahaaaaa ya rick sawa,neyo sawa ila OMARION!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPANAMkuu chukua form unaweza kushinda mashindano ya haters duniani...nafikiri hii haishii kwa diamond tuu