Kwema wana,
Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby.
Mtakumbuka kama wiki mbili zilizopita Mond alikuwa akipika hit song na Rick Rosey mwenye midevu yake.
Wale ambao hatujafikisha miaka 30 tutakuwa tunamjua vyema mnyama Omarion (ndiye alikuwa role model wetu) aliyekuwa kundi la B2K chini ya Rapa tajiri duniani P.Didy lakini sio wa JF asiyejua kuandika.
Wakati Diamond akiipeleka Bongo fleva duniani kuna kajamaa kenyewe kanashinda kijiweni kuvuta shisha na kula mirungi huku kakisubiri mwisho wa wiki kakagombee mic na Mwamba Geu , S Kide mtoto wa mama Shamte fiestani.
View attachment 619347
hivi omarion yupo???????....kolabo hupangw au atakayepita mbele huyohuyo tunafanya nae bila kujali ubora alionao kwa wakati husika?? muda mwingine bora kufanya na aslay omarion??? is luk serious aw mnatania