Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Hivi kwanini diamond hawezi kusimama yeye kama yeye kama davido? Kila siku lazima ashirikishe mtu? Mbaya zaidi anashirikisha wasanii wakubwa lakini nyimbo zenyewe hazihit kama zamani, za kawaidaa sana
Hazihit kama zamani? Mkuu umelewa nini? Nyimbo za diamond sasahivi zinapofika zamani ilikuwa ni ndoto tu kwake

Nenda kaangalie mauzo kwenye online platform urudi hapa
 
Ambao wanaponda Diamond kufanya collabo na wanamuziki wa nje wanaufahamu mdogo sana kwenye kitu kinaitwa Soko la Muziki. Anachofanya Diamond ni kuongeza soko,Fan Base. Unapofanya collabo na msanii mkubwa mashabiki wake watataka kumsikia msanii wao amefanya nini kwenye collabo hivyo kuongeza soko kwa Diamond.
kesho na keshokutwa akipiga views 1m kwa saa mtaaza kujiuliza imekuaje amenunua viewers,kumbe ni akili tuu ya kucheza na soko na hivi ndivyo linavochezewa.
 

Diamond bila collabo= Zero
(0)
Kwa mnaofatilia mziki mtagundua hilo kua this time diamond can not stand alone.
Sasa hiv amekua ni mtu wa kuhangaika na collabo tu mbaya zaidi ananunua collabo kwa wasanii ambao kweny chat za billboard walishasahaulika.
Mashabiki wake hawalioni hili ndio maana wao kila kukicha utasikia Mond amecollabo na huyu mara amecollabo na yule.
Swali?
Uimara na ubora wa diamond unapimwa na kununua collabo nyingi?

Kwa hali mnayoiona sasa diamond anaweza akasimama peke yake na akatupa burudani kama anayotupa Dogo Aslay?
Hahaha mnachofanya ni kumpambanisha na yeyote mnaehisi yupo juu ya kiba...mlianza na darasaa saivi ashlay mkihisi mtu anajitahidi kumpita kiba basi mnampambanisha na simba
 
kolabo na wasanii ambao washajifia kitambo... kwanini asipige kolabo na Drake au Justin bieber kama wizkid... mbafuuuuuu
 
kolabo na wasanii ambao washajifia kitambo... kwanini asipige kolabo na Drake au Justin bieber kama wizkid... mbafuuuuuu
Mkuu chukua form unaweza kushinda mashindano ya haters duniani...nafikiri hii haishii kwa diamond tuu
 


Diamond Platnumz ashoot video na Omarion, Zari The Bosslady ampa kampani,
 
Inashangaza sana kuona watu wanatarajia iko siku wasanii wataacha kuibuka na mambo ya kuandikwa kwenye mitandao. Hiyo ndio inawafanya waishi na msingi wa kazi zao za kisanii. Wasipoandikwa, kwisha habari yao. Kwa maana hiyo, watafanya kila linalowezekana kuhakikisha wanaendelea kuandikwa.
 
Kwema wana,

Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby.

Mtakumbuka kama wiki mbili zilizopita Mond alikuwa akipika hit song na Rick Rosey mwenye midevu yake.

Wale ambao hatujafikisha miaka 30 tutakuwa tunamjua vyema mnyama Omarion (ndiye alikuwa role model wetu) aliyekuwa kundi la B2K chini ya Rapa tajiri duniani P.Didy lakini sio wa JF asiyejua kuandika.

Wakati Diamond akiipeleka Bongo fleva duniani kuna kajamaa kenyewe kanashinda kijiweni kuvuta shisha na kula mirungi huku kakisubiri mwisho wa wiki kakagombee mic na Mwamba Geu , S Kide mtoto wa mama Shamte fiestani.


View attachment 619347
hivi omarion yupo???????....kolabo hupangw au atakayepita mbele huyohuyo tunafanya nae bila kujali ubora alionao kwa wakati husika?? muda mwingine bora kufanya na aslay omarion??? is luk serious aw mnatania
 
Mkuu chukua form unaweza kushinda mashindano ya haters duniani...nafikiri hii haishii kwa diamond tuu
huo ndo ukweli siyo kolabo mradi kolabo tuu....au apige na kanye west aliyemsifia kiatu chake kizuri hahahaaaaa ya rick sawa,neyo sawa ila OMARION!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPANA
 
Back
Top Bottom