Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Hao followers wa Mondi wa Nchi gani labda mbona show zake zinabuma sana ukitoa show za kualikwa ?!!!!
 
Uncle hata ukosee vipi nakuwa upande wako ...naenda kukurekebisha PieeeeM😀
 
Katikati namuona Zari brigadier General le akili kubwaz, jamaa mondi ataachaje kutusua.
 
Omarion wa ''Girlfriend''
yan yule aliepiga intro ya hiviiiii
''I own everything in my life expect girlfrieeeend,,,
beat Dintili til til dint til til
Blazaaaa ungekuwa hapa karibu SMG FULL MAGAZINE HEAD SHOT FULL RAPID
Ingekuhusu kumfananisha Omarion na utumbo wako.huo
 
Mastaa wasiokua na drama hawanaga Followers wengi...
Baba Mega hanaga drama na ni wakongwe ,hivo hivo pia kwa neyo
 
Diamond bhana, eti leo katupia picha Instagram yuko yeye na watoto wake, halafu kuandika "me and my sperms". How weird!!!
 
Hivi unamanisha huyo rick Ross mzee wa haaaaaaaa!! Au unamanisha rick Ross rapper wa kwenye wimbo wa ya moto band "niseme"
 
Omarion wa ''Girlfriend''
yan yule aliepiga intro ya hiviiiii
''I own everything in my life expect girlfrieeeend,,,
beat Dintili til til dint til til
Blazaaaa ungekuwa hapa karibu SMG FULL MAGAZINE HEAD SHOT FULL RAPID
Ingekuhusu kumfananisha Omarion na utumbo wako.huo
Mkuu unamanisha zote 30 zingemhusu!! Basi ningekupa tu RPG umalizane nae
 


Diamond Platnumz ashoot video na Omarion, Zari The Bosslady ampa kampani,

huko ni kuangaika tu hivi wanafikiri watajulikana usa?? ni ndoto sana huyo omarion anaona kama anatalii hivi na sio wanafanya mziki hautafika popote huo wimbo wajiulize ule wa diamond na neyo marekan haujulikani kabisa
 
Hivi side mtoto wa mama shamte hajatoa kitu kingine? Hahahaa
hahahhaaa,huyu jamaaa bana dah...bangi zinamchukuaga vibaya sana aise...niliisikia moja kamchana harmorapa eti,kalimuoneaga wivu hadi kiboko wa bishoo kwa kiki zake.
 
huko ni kuangaika tu hivi wanafikiri watajulikana usa?? ni ndoto sana huyo omarion anaona kama anatalii hivi na sio wanafanya mziki hautafika popote huo wimbo wajiulize ule wa diamond na neyo marekan haujulikani kabisa
Mkuu ebu taja maeneo unayoishi hapa duniani aise!
 
Mkuu ebu taja maeneo unayoishi hapa duniani aise!
mi nimetembea ndugu yangu muulize mtu yoyote ambaye yupo usa kama wimbo huo wa diamond na neyo wanaujua ni baadhi ya wanaafrica mashariki wanaoishi marekan ndio wanaoujua tena baadhi wajifunze kutoka kwa lucky dube alijitengenezea jina kubwa africa ndipo akaombwa na wa nje kufanya kazi sio kila unapomuona star wa usa basi unaomba colabo tu lazima utaishia hivyo hujulikani kwingine coz wao hawaendi nazo kwao
 
Ifike wakati mtu ukimwongelea diamond usimtaje kiba na ukimwongelea kiba usimtaje diamond.
Mbona akiongelewa msanii mwingine anaongelewa bila mwingine kupondwa.
Wote wetu wote wako vizuri

Kweli ni makosa kumtaja Diamond na Kiba, Kiba yupo kwenye level ya kina Gigy money, Aslay, BenPol nk
 
Sawa hater, jamaa anazidi kutusua na kuongeza fanbase ,by the way sidhani kama maneno yako yana mashiko sana kumshusha Mond. Keep on hating ,we will keep on supporting him for the good music he used to do...


Simsushi Mondi na siyo nia yangu ila namshangaa kuweka sura za watu videoni wakati hawaimbi kitu Zaidi ya kutaja Hey Yo, Haaaaaa, Huuuuuuu....kwa kweli watanzania tuna kazi ya kujitambua hapa. Sasa hiyo fan base Marekani nani anajuwa Kiswahili huko, umejiuliza hii?
 
Back
Top Bottom