Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na imani ushapata majibu watu tatizo wazito kufuatilia ndio maana hata mtu akiwapikia data bhax wataamishwa hvyo lakini si hvyo lazma uingie deepDu Jamaa noma likes zinazidi followers wa diamond View attachment 620385
Mkuu unamanisha zote 30 zingemhusu!! Basi ningekupa tu RPG umalizane naeOmarion wa ''Girlfriend''
yan yule aliepiga intro ya hiviiiii
''I own everything in my life expect girlfrieeeend,,,
beat Dintili til til dint til til
Blazaaaa ungekuwa hapa karibu SMG FULL MAGAZINE HEAD SHOT FULL RAPID
Ingekuhusu kumfananisha Omarion na utumbo wako.huo
Ndio mkuuMkuu unamanisha zote 30 zingemhusu!! Basi ningekupa tu RPG umalizane nae
Diamond Platnumz ashoot video na Omarion, Zari The Bosslady ampa kampani,
hahahhaaa,huyu jamaaa bana dah...bangi zinamchukuaga vibaya sana aise...niliisikia moja kamchana harmorapa eti,kalimuoneaga wivu hadi kiboko wa bishoo kwa kiki zake.Hivi side mtoto wa mama shamte hajatoa kitu kingine? Hahahaa
Mkuu ebu taja maeneo unayoishi hapa duniani aise!huko ni kuangaika tu hivi wanafikiri watajulikana usa?? ni ndoto sana huyo omarion anaona kama anatalii hivi na sio wanafanya mziki hautafika popote huo wimbo wajiulize ule wa diamond na neyo marekan haujulikani kabisa
mi nimetembea ndugu yangu muulize mtu yoyote ambaye yupo usa kama wimbo huo wa diamond na neyo wanaujua ni baadhi ya wanaafrica mashariki wanaoishi marekan ndio wanaoujua tena baadhi wajifunze kutoka kwa lucky dube alijitengenezea jina kubwa africa ndipo akaombwa na wa nje kufanya kazi sio kila unapomuona star wa usa basi unaomba colabo tu lazima utaishia hivyo hujulikani kwingine coz wao hawaendi nazo kwaoMkuu ebu taja maeneo unayoishi hapa duniani aise!
Mkuu we si wakawaidaHa ha ha ha ha
Ifike wakati mtu ukimwongelea diamond usimtaje kiba na ukimwongelea kiba usimtaje diamond.
Mbona akiongelewa msanii mwingine anaongelewa bila mwingine kupondwa.
Wote wetu wote wako vizuri
Sawa hater, jamaa anazidi kutusua na kuongeza fanbase ,by the way sidhani kama maneno yako yana mashiko sana kumshusha Mond. Keep on hating ,we will keep on supporting him for the good music he used to do...