Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2023
Posts
629
Reaction score
1,688
Habari 👋

Moja kwa moja kweny mada.

Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu.

Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za yule mtu niliyem-hide, tena ame-reply kweny ile status niliyopost, nikaenda kuangalia status views nikamuona ame-view, nikaenda kule tena kweny settings za 'status privacy' nikamwona bado nimem-hide.

Sasa hapa najiuliza hizi settings zinafanya kazi kweli, kama hazifanyi kazi watuambie kabisa ili watu wasije wakaharibu mahusiano na ndoa zao huu msimu wa valentine.

Ohooo!
 
Inawezekana bado kuna zile WhatsApp za vichochoroni ndio ambazo hata ufanyeje watu wanakuchora tu 🤣🤣

Walizifungia ila inawezekana zimeibuka nyingine
 
Back
Top Bottom