Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

Habari 👋

Moja kwa moja kweny mada.

Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu.

Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za yule mtu niliyem-hide, tena ame-reply kweny ile status niliyopost, nikaenda kuangalia status views nikamuona ame-view, nikaenda kule tena kweny settings za 'status privacy' nikamwona bado nimem-hide.

Sasa hapa najiuliza hizi settings zinafanya kazi kweli, kama hazifanyi kazi watuambie kabisa ili watu wasije wakaharibu mahusiano na ndoa zao huu msimu wa valentine.

Ohooo!
Mwanangu uza hio Tecno F1 uliyonayo chukua hata Infinix HOT 50 ipo kama I phone. Usitumie tena Tecno, Mimi kunasiku nilikuwa na Tecno nimeperuzi mtandaoni baada ya kumaliza nimeieka mfuko kuja kuiwasha nakuta simu imejituma sms kwa mama mkee Ina sema, Utamu niliokupa jana uliinjoy, siku ile ndy ilikuwa mwisho wa kutumia simu ya Tecno.
 
Habari 👋

Moja kwa moja kweny mada.

Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu.

Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za yule mtu niliyem-hide, tena ame-reply kweny ile status niliyopost, nikaenda kuangalia status views nikamuona ame-view, nikaenda kule tena kweny settings za 'status privacy' nikamwona bado nimem-hide.

Sasa hapa najiuliza hizi settings zinafanya kazi kweli, kama hazifanyi kazi watuambie kabisa ili watu wasije wakaharibu mahusiano na ndoa zao huu msimu wa valentine.

Ohooo!
Ukute anatumia ile whatsap GB...ungemtia block tu
 
Back
Top Bottom