Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Huo ni ukatili aseeUngepiga bloku haoni kitu
Mna hide nini?Kama ni hivo wengi tutaumbuka ππ»ββοΈ
Kama ni hivo wengi tutaumbuka ππ»ββοΈ
Hivi kwani bado inafanya kazi?,. Si nliskia imefungiwaπ€Gb WhatsApp hiyooo...
Umeyatimba,
Inawezekana bado kuna zile WhatsApp za vichochoroni ndio ambazo hata ufanyeje watu wanakuchora tu π€£π€£Habari π
Moja kwa moja kweny mada.
Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu.
Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za yule mtu niliyem-hide, tena ame-reply kweny ile status niliyopost, nikaenda kuangalia status views nikamuona ame-view, nikaenda kule tena kweny settings za 'status privacy' nikamwona bado nimem-hide.
Sasa hapa najiuliza hizi settings zinafanya kazi kweli, kama hazifanyi kazi watuambie kabisa ili watu wasije wakaharibu mahusiano na ndoa zao huu msimu wa valentine.
Ohooo!
Zilifungwa kweli, ila huwa wanazi crack zinarudi tena. Situmii ila nadhani watu bado wanazo!Hivi kwani bado inafanya kazi?,. Si nliskia imefungiwaπ€
OkZilifungwa kweli, ila huwa wanazi crack zinarudi tena. Situmii ila nadhani watu bado wanazo!
Swali gumu la Utumishi π π π π πMna hide nini?
Mimi statu ana view mpaka waziri sifichagi kitu kabisa sijawai hideSwali gumu la Utumishi π π π π π