Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Mkuu nina S23 ultra
 
Itakuwa anatumia WhatsApp GB huyo,hizo hata ukidelete anazirudisha vizur tuu
 
Saa hizi mtu wako wa mana ndo uliweka asione ili huyo mwingine mpitaji afurahi. Lol.

Pole sana Mkuu.
 
Mkuu hiyo setting haifanyi kazi kwenye simu za tecno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…