Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB.

Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu.

Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa bila kikomo.

Asanteni.
 
Asanteni
umebaini lini hilo, kwamba ni wizi :spandauB:
 
Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB.

Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu.

Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa bila kikomo.

Asanteni.
mitandao ya sim majambaz tu kuna siku roh iliniuma nmejiunga dakika na sms za wik then nkajiunga na gb 1.5 ile unatumia wik uwa nafanya ivo gb najua inatoboa hata siku 3 au ukijbana 4..eeh si nkaumwa macho nkaw nkishika sim yanauma machoz red eyes bas nkatulia tu nkaw si deal sn na sim nakuj tumia km siku ya 6 iv ndo kdog pale ufuen kesho yake tu kila kitu knaisha nkasema asa hela angu si imeend bure kwann wasiwek unatumia ad umalze zkirud kwao wao wanashda gan yan hela wanabeba na vfurush wanachukua aipo sawa nkataman hawa wanasias wanaopg kelel mtandaon kila sik kulaum laum serikal au sjui katiba sijui uchaguz kwann wasianze na major keys kama hiz weng wasomi mawakil wakafungua kesi kutetea raia mfum wa vfurush ubadilike watatngenez kula ngap kwa kufanya ivo bt hawaez wao bando si tatz wanapgania wapat chanel wapande v8 na wao
 
Wenyewe wanasema kifurushi ni ofa.
Ukitaka utumie kwa muda unaotaka, piga kwa kutumia muda wa wa maongezi ambapo kuna bei elekezi Tshs per minutes and MB.

Sasa kibaya zaidi ukiacha muda wa maongezi bila kuunga wanalamba.
 
Hii dunia ni ya kibepari, hakuna anayejali Ili mradi wanapiga ela. Mitandao ya simu yote, TCRA, serikali ya CCM na viongozi wote ni kitu kimoja, wapo kwa ajili ya pesa. Solution ya haya malalamiko na mengine yote ni kutafuta PESA tu. Uwe nazo nyingi hutaona shida kujiunga mwezi hata mwaka. Kuna watakaobisha lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Wenyewe wanasema kifurushi ni ofa.
Ukitaka utumie kwa muda unaotaka, piga kwa kutumia muda wa wa maongezi ambapo kuna bei elekezi Tshs per minutes and MB.

Sasa kibaya zaidi ukiacha muda wa maongezi bila kuunga wanalamba.
Vifurushi visivyo expire ama vya kutumia muda mrefu pia vipo, kuna vifurushi vya miezi 6, mwaka etc. Halichachi.
 
Back
Top Bottom