goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
Habari za jioni Wana JF wenzangu
Nimekua nafuatilia show za wanamuziki na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini kwetu napenda nitoe tafakuri yangu juu ya hizi shows wanazoalikwa wanamuziki kwenda kuperform kwenye hafla hasa hizi za kisiasa naona Kama zinatawaliwa Sana na WASANII kutoka label moja ya WCB.
Rai yangu kwa anayehusika ni vizuri guess hii wakapewa wasanii bila kuwa na urafiki wala upendeleo kwa sababu naona kama swala hili kimeanza kukomaa na kuota mizizi.
Nawasilisha