Hizi show za Wasanii kwenye hafla mbalimbali anayepanga Wasanii mbona kama anapendelea WCB?

Hizi show za Wasanii kwenye hafla mbalimbali anayepanga Wasanii mbona kama anapendelea WCB?

Mpasuko uko since way back, so it's survival of the fittest. Nadhani what bothers you ni kuona WCB artists peke yao ndiyo wamekula shavu, fan base yao inachangia sana kuwapa nguvu na hata organizers wa hizo events wanaliewa hilo hivyo kuwalalamikia eti wajaribu kumridhisha kila mtu that shit ain't easy.

Hao waliotumbuiza ni A list hivyo na hiyo inatosha, next time wanaweza wakawa wengine kwani haiwezekani kila event wapatiwe nafasi the so called A list wote.

Probably pia vigezo na masharti vinazingatiwa(just assuming).
Daaaah...! Unaongea Sana aisee
 
Kama Diamond unamwita ni masikini vip wasanii wengine watakuwa kwenye hali gani kama wa kina Alikiba n.k
Alikiba yupo vizuri me Ni jirani yake uku tabata. alinunua nyumba akaivunja akajenga gorofa lake .
 
Back
Top Bottom