Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mkuu Kiranga umelizungumzia hili swala kitaalamu sana. Kama ni mtu mwenye uelewa atakuwa kaelewa, lakini kama alileta hii maada Ili kuchochea ubishani basi apite kishoto.Kitu cha kwanza kabisa, usifanye kazi au biashara kwa minajili ya "hiki chakula watoto wanakihitaji".
Yani, usiende kwa ntu kumuomba kazi ufanye akulipe, au kumtaka awe mteja wako anunue bidhaa/ huduma zako, kwa sababu watoto wako wanakufa njaa.