Hizi show za Wasanii kwenye hafla mbalimbali anayepanga Wasanii mbona kama anapendelea WCB?

Boss wao alivyoenda kukutana na shaka nyie wengine mlikuwa wapi
Kama Shaka ndo ameanza huu ujinga ache Mara moja.tunataka equal chance kwa wanamziki wote kila mmoja afaidi keki ya taifa.A list artist wote wapewe nafasi aisee Mambo ya kila siku WCB tumechoka
 
Alipokuwa anasagiwa kunguni na wanaharakati mlitulia kimya, tulia vile vile na sasa hivi akila kivulini, Diamond alitukanwa kisa ccm halafu unashanga wasanii wake kuitwa katika shughuli za serikali ya ccm!!!Ahahahahaha nchi hii kuna watu wanachekesha sana
Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
 
Wewe ulitaka waletwe wasanii gani? Tuanzie kwanza hapo
 
Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Kitu cha kwanza kabisa, usifanye kazi au biashara kwa minajili ya "hiki chakula watoto wanakihitaji".

Yani, usiende kwa mtu kumuomba kazi ufanye akulipe, au kumtaka awe mteja wako anunue bidhaa/ huduma zako, kwa sababu watoto wako wanakufa njaa.

That is negotiating from a position of weakness.

Unadi uwezo wako kwamba hapa nina uwezo huu, nahitajika kwa sababu hii, mkinipa kazi mtafaidika hivi, kwa nini itafaa zaidi mkinipa kazi hii mimi badala ya mtu mwingine.

Sasa, kama hao wapinzani wa Diamond wanaweza kushindana na Diamond kwa misingi ya mchuano huu, ongelea hilo.

Kama Diamond kawazidi umaarufu na uwezo wa kuwa na mashabiki, usitake watu wanaotaka kuvutia mashabiki kwenye hafla zao wachague mtu ambaye hawezi kujaza mashabiki kama Diamond.
 
Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Ndio nasema wakati wanaharakati wamemfanya Diamond ndio mfano wa kumaliza hasira zao na serikali ya ccm, hao wasanii wengine walikuwa wametulia kimya, sasa kwa vile Diamond ndio alieumia sana, wacha ccm wamfute machozi maana aliumia kwa ajili yao
 
Kitu cha kwanza kabisa, usifanye kazi au biashara kwa minajili ya "hiki chakula watoto wanakihitaji".

Yani, usiende kwa ntu kumuomba kazi ufanye akulipe, au kumtaka awe mteja wako anunue bidhaa/ huduma zako, kwa sababu watoto wako wanakufa njaa.
Hafla Kama izi wanamziki wanaenda kutoa burudani sio show zenye mlengo wa kuvuta maahabiki juzi vijana walienda kuongea na Rais sio walienda kumfuata zuchu japo show inakua ni Kama sehemu ya burudani tu ndani ya Jambo husika
 
Ndio nasema wakati wanaharakati wamemfanya Diamond ndio mfano wa kumaliza hasira zao na serikali ya ccm, hao wasanii wengine walikuwa wametulia kimya, sasa kwa vile Diamond ndio alieumia sana, wacha ccm wamfute machozi maana aliumia kwa ajili yao
Roho kwatuuuh mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hafla Kama izi wanamziki wanaenda kutoa burudani sio show zenye mlengo wa kuvuta maahabiki juzi vijana walienda kuongea na Rais sio walienda kumfuata zuchu japo show inakua ni Kama sehemu ya burudani tu ndani ya Jambo husika
Basi waondoe kabisa huo muziki vijana waongee na Rais tu.

Unaelewa kwamba huo muziki unachangamsha mkutano?
 
Mimi sikumponda kwenye izo issue zake za tuzo ila nawapa taarifa viongozi wangu wa chama waache kuwakumbatia Sana Hawa peke yao wanatakiwa wajue Kuna watoto wengine icho chakula wanakihitaji pia.Badae inaweza leta mpasuko miongoni mwa A list artist
Mpasuko uko since way back, so it's survival of the fittest. Nadhani what bothers you ni kuona WCB artists peke yao ndiyo wamekula shavu, fan base yao inachangia sana kuwapa nguvu na hata organizers wa hizo events wanaliewa hilo hivyo kuwalalamikia eti wajaribu kumridhisha kila mtu that shit ain't easy.

Hao waliotumbuiza ni A list hivyo na hiyo inatosha, next time wanaweza wakawa wengine kwani haiwezekani kila event wapatiwe nafasi the so called A list wote.

Probably pia vigezo na masharti vinazingatiwa(just assuming).
 
Back
Top Bottom